Mnh! Imemchelewesha Yamoto wakati wakati hao ndio waliomtoa?! Mwogopeni Mungu!ni swala la mdaa tu kabla dogo ajampiku daimond, nadhani kilichokuwa kina mchelewesha dogo ni ile yamoto band .... daimond hana cha kumzidi aslay.
dogo kabla ya yamoto band alikuwa star tayari mkuu, japo kuwa yamoto imemsogeza mahala fulani lakini nadhani kwamba angelikuwa solo artist angelikuwa mbali zaidi.Mnh! Imemchelewesha Yamoto wakati wakati hao ndio waliomtoa?! Mwogopeni Mungu!
Alikuwa star kutokea wapi kama sio Mkubwa na Wanawe ambae ndio huyo huyo wa Yamoto Band?dogo kabla ya yamoto band alikuwa star tayari mkuu, japo kuwa yamoto imemsogeza mahala fulani lakini nadhani kwamba angelikuwa solo artist angelikuwa mbali zaidi.
hivi umeskia goma lake jipya "natamba"? tafuta na video kama hujaiona bado
Hii dhana ya kushusha mmoja na kupandisha mwingine sijui tuliitoa wapi wa Tz.Alikuwa star kutokea wapi kama sio Mkubwa na Wanawe ambae ndio huyo huyo wa Yamoto Band?
Hiyo ngoma nishaiona manake niliiona amei-post Diamond! Na wala sio kwamba nakataa Aslay sio fire lakini leo hii kumpiku Diamond ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri!!! Ukiona hata Kiba mwenye mashabiki kila kona anapata shida kumshusha Diamond basi ufahamu sio kazi ndogo! The guy ana big empire nyuma yake
We wa wapi, wakati dogo anatamba na 'naenda kusema' ulikuwa Kolomije?Mnh! Imemchelewesha Yamoto wakati wakati hao ndio waliomtoa?! Mwogopeni Mungu!
Baraka hakuna kitu pale!,,hana nidhamu,ni limbukeni Fulani hivi.!Aslay,Baraka da prince na Mbosso ni suala la mda tu WCB chama kubwa
mkubwa na wanawe sio yamoto bandAlikuwa star kutokea wapi kama sio Mkubwa na Wanawe ambae ndio huyo huyo wa Yamoto Band?
Hiyo ngoma nishaiona manake niliiona amei-post Diamond! Na wala sio kwamba nakataa Aslay sio fire lakini leo hii kumpiku Diamond ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri!!! Ukiona hata Kiba mwenye mashabiki kila kona anapata shida kumshusha Diamond basi ufahamu sio kazi ndogo! The guy ana big empire nyuma yake
Yeah vigezo vya kuwa Wcb lazima uwe unaimba kama baba enu DimondHana vigezo vyakuwa wcb
E bhana eh!!! Au na wewe ulikuwa Nanjilinji kiasi kwamba hufahamu kwamba Naenda Kusema aliitoa akiwa chini ya Mkubwa na Wanawe, yaani Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!We wa wapi, wakati dogo anatamba na 'naenda kusema' ulikuwa Kolomije?
Yamoto Band ni ya nani na Mkubwa na Wanawe ni ya nani?! Au na wewe unatakiwa kuambiwa kwamba neno "Mkubwa" ni Said Fella ambae anafahamika kama Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!mkubwa na wanawe sio yamoto band
mkubwa na wanawe ni kituo cha vipaji ndani yake kuna wasanii solo na band pia i.e madada sita,tmk salam,yamoto band and etc
kabla ya kuwa kwenye band aslay alikuwa solo artist hapo mkubwa na wanawe.
Soma comment yangu kabla ya hii nimeeleza vizuri ..yamoto band ipo ndani ya mkubwa na wanawe , msanii anaweza kuwa mkubwa na wanawe lakini si member wa yamoto band..Yamoto Band ni ya nani na Mkubwa na Wanawe ni ya nani?! Au na wewe unatakiwa kuambiwa kwamba neno "Mkubwa" ni Said Fella ambae anafahamika kama Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!
Yamoto band imeundwa baadae sana baada ya izo ngoma kutoka.E bhana eh!!! Au na wewe ulikuwa Nanjilinji kiasi kwamba hufahamu kwamba Naenda Kusema aliitoa akiwa chini ya Mkubwa na Wanawe, yaani Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!