Namshauri Diamond Platnumz amsajili Aslay, WCB

Alikuwa nao unaitwa Uwe nami amemshirikisha temba! Bonge moja la song.....
Yah, you're right; naikumbuka lakini na yenyewe aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe; manake ndo hoja yangu halisi!
 
Umewahi kumsikiliza Lavalava amekaa muda gani pale WCB?! Btw, huyo Mboso ametangazwa lini pale WCB? Na kwanini iwe Mboso na isiwe kwa Rayvann, Harmonize na Rich Mavoko?
Nimemuongelea mboso kwasababu ndo alokuwa kwenye kundi moja na wenzake kina aslay na beka (ya moto band) kuhusu hao lavalava na rayvany cjui ni out of this topic
 
Nimemuongelea mboso kwasababu ndo alokuwa kwenye kundi moja na wenzake kina aslay na beka (ya moto band) kuhusu hao lavalava na rayvany cjui ni out of this topic
Not out of topic kwa sababu hoja yako kuhusu Mboso ni kwamba hadi sasa hajatoa ngoma na kwahiyo ni kama anabaniwa! Na ndio nimekuuliza, kama Mboso anabaniwa simply because hajatoa ngoma; what about mtu kama Lavalava ambae alikaa zaidi ya mwaka mmoja?! Kwanini asibaniwe mtu kama Rich Mavoko ambae kila mtu anafahamu jinsi alivyo mkali!!

Keword ni kwamba WCB atabaniwa na sio Yamoto Band!!!
 
Mimi naongelea yamoto kama band ilificha kipaji cha dogo maana alikuwa hana uhuru wa kufanya kazi zake kama sasa maana alikuwa anaimba part ndogo sana.

Wala sijaponda uwongozi wa saidi fella katika kumsimamia aslay, fella ni manager mzuri sana tena zaidi hata ya huyu sijui "chambuso" .
 
Aslay hayupo kimataifa na sioni brand yake ikirumu mwaka humu nchini, nyimbo zake zinafanana!
Beka ni zaidi ya Aslay, hana nyota tu!
Beka namkubali sana lakini si wakunfananisha na aslay.

Mimi ni team kiba lakini i swear aslay kwa sasa anafanya mziki mzuri zaidi ya kiba na daimond .
 
Beka namkubali sana lakini si wakunfananisha na aslay.

Mimi ni team kiba lakini i swear aslay kwa sasa anafanya mziki mzuri zaidi ya kiba na daimond .
Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.
 
ni swala la mdaa tu kabla dogo ajampiku daimond, nadhani kilichokuwa kina mchelewesha dogo ni ile yamoto band .... daimond hana cha kumzidi aslay.


Kama kashindwa Ali Kiba pamoja na support yote anayopewa na haters wa Diamond, Aslay bora aimbe tu, asitafute kumpiku mtu.
 
Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.
Mbona dogo anakimbiza sana mitaani na magoma yake mf. Mama, kidawa,muhudumu na hasahasa goma lake jipya "natamba" lenye video yenye viwango vya kimataifa.
 
Hoja ilianzi pale uliposema it's a matter of time atamfunika Diamond!!! Nikakuambia game ya muziki ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri na nikahoji; kwani ni nani asiyemfahamu Aslay! Watu wanamfahamu tangu kitambo ndipo ukaja na hoja kwamba si ajabu hivi sasa ingekuwa ameshamfunika Diamond lakini Yamoto imemchelewesha!

Ndipo nikahoji imemchelewesha vipi wakati hapo kabla hakuna aliyekuwa anamfahamu Aslay lakini ni mmiliki wa Yamoto ndie aliyemtambulisha kwa public wakati akiwa Mkubwa na Wanawe!!!

But all in all, narudi pale pale!!! Game ya Bongo Flavor ni zaidi ya kujua kuimba!!! Sidhani hata wewe kama unaamini kwamba waimbaji bora muziki wa kizazi kipya ni Kiba na Diamond peke yao!! Wapo wasanii wenye uwezo kuliko Diamond na Kiba na wanafanya kazi kama Solo Artists lakini bado Diamond na Kiba wapo pale pale!!!!

Sasa ni kipi cha ziada alichonacho Aslay cha kuwazidi wasanii wengine wooooooote hadi ionekane it's a matter of time atampiku Diamond ambae wasanii kibao tu wenye uwezo wameshindwa kuchukua nafasi yake?!

And remember, sio kwamba sitamkii mema huyu dogo; hell no bali nazungumzia uhalisia wa Bongo Flavor!!! And in fact sio bongo flavor tu bali music industry in general popote pale duniani!!!! Kote huko ili uwe ontop ni zaidi ya kujua kuimba!!! Unaweza kutoa ngoma na zikawa Billboard Hit na kisha ukabeba Grammy Awards lakini usidhani eti hiyo ndo inaweza kuwa mwanzo wa kuchukua nafasi ya watu kama akina Beyonce!!!
 
Kama kashindwa Ali Kiba pamoja na support yote anayopewa na haters wa Diamond, Aslay bora aimbe tu, asitafute kumpiku mtu.
Aslay hashindani na mtu... hizo ni fikra zangu tu kwamba namuona dogo mbali sana.
 
Haya twende taratibu sasa, Labda utuambie wewe unaona kitu gani ambacho daimond na kiba wanacho ambacho aslay hana ?
 
Ndo maana yake mkuu nimemtolea mfano mboso kwasababu anaeongelewa hapa ni aliekuwa team mate wake kipindi cha yamoto kwahiyo wangetoka kivyao wote wanne ingeleta mvuto zaidi
 
Asley kama Neymar. Jeshi la MTU mmoja. Nitaenda kumwambia Mama. Ilimpa promo. Na hii nyingine" Muhudumu ongeza glass" Walevi tunaipenda
 
Haya twende taratibu sasa, Labda utuambie wewe unaona kitu gani ambacho daimond na kiba wanacho ambacho aslay hana ?
Seriously?! Tuchukue mfano mdogo sana! Aslay ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Diamond au hata Kiba?!
 
Timburo siwez kumuacha nyuma katika wasanii wanaoimba frsh na hawatoki
 
aslay ni mkubwa kuliko hao WCB...no need to be under them nikujiloga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…