Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Unajua kwanini hana the so called loyal fans? tunarudi kulekule kwamba bendi ilikuwa inamficha kuonyesha kipaji chake na sasa hivi ndo anaanza tengeneza hao loyal fans na mimi ni mmoja wa fans wake.Seriously?! Tuchukue mfano mdogo sana! Aslay ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Diamond au hata Kiba?!
Ray, sasa wewe unazungumzia mvuto au unazugumzia how the business works?!Ndo maana yake mkuu nimemtolea mfano mboso kwasababu anaeongelewa hapa ni aliekuwa team mate wake kipindi cha yamoto kwahiyo wangetoka kivyao wote wanne ingeleta mvuto zaidi
Ben Paulo ana fan base kubwa ambayo ni loyal kumlinganisha na Diamond au Kiba?! Au na yeye alikuwa kwenye band?Unajua kwanini hana the so called loyal fans? tunarudi kulekule kwamba bendi ilikuwa inamficha kuonyesha kipaji chake na sasa hivi ndo anaanza tengeneza hao loyal fans na mimi ni mmoja wa fans wake.
Ben Paulo ana fan base kubwa ambayo ni loyal kumlinganisha na Diamond au Kiba?! Au na yeye alikuwa kwenye band?
What about Barnaba? Au na yeye alikuwa kwenye band?
Na Jux je? Au na yeye alikuwa kwenye band?
Vipi kujusu Ditto? Nae alikuwa band ipi?
Wakati Rich Mavoko alivyokua anaelekea kupotea aalikuwa anaimbia band ipi?
Au unataka kusema wote hao si lolote si chochote mbele ya Aslay?!
Basi endelea kujifurahisha hivyo hivyo kwamba it's a matter of time atampiku Diamond!!! Na kama success yake ni kumpiku Diamond basi I doubt kama hiyo success ataipata mapema manake hata huyo Kiba mwenyewe sidhani kama ndani ya nafsi yake anaamini kwamba ameshampiku Diamond!!!!!Ben pol: mziki wake umepoa sana,haendani na soko japo kuwa anajua kuimba
JuX : hajui na hajawai kuujua kuimba
Mavoko: hana muonekano wakisanii
na hajui kujiweka kisanii
Barnaba: kama ben pol, same case.
Ditto: anaimba kizamani
Wasani wako wote sii reference nzuri kwa aslay... Aslay ni a different specie kabisa from those u've mentioned.
Aslay anavitu vyote ambavyo vinawafanya hao jamaa wako wakose loyal fans.
Nyimbo za Aslay sio maarufu redioni ila ni maarufu mtaani, hao wasanii ambao nyimbo zao hazikauki kwenye rotation ya redio wanakalishwa vibaya kwenye show na Aslay, we hujiulizi kwanini pamoja na kwanga nyimbo zake hazichezwi sana redioni ila mashabiki kwenye show wanaimba naye mwanzo mwisho?Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.
Mtaani wapi?? Nazisikia kwenye mabaa tu!!Nyimbo za Aslay sio maarufu redioni ila ni maarufu mtaani, hao wasanii ambao nyimbo zao hazikauki kwenye rotation ya redio wanakalishwa vibaya kwenye show na Aslay, we hujiulizi kwanini pamoja na kwanga nyimbo zake hazichezwi sana redioni ila mashabiki kwenye show wanaimba naye mwanzo mwisho?
Hana brand, watu bado wamemganda wanadhani bado ni kale kadogo ka "naenda kusema kwa baba"!Ngoma za Aslay ukizisikiliza vizuri utagundua ni wa hapahapa