Namshauri Jaji Mkuu ajiuzulu

Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?
 
Kiukweli wengi walihusika sijui kwa nini. Kama kujiuzulu ni wengi. Hata wale waliogizwa wawatupe nje na kisha wakutane na mkono mwingine. Hata wale waliotishiwa kushikishwa adabu mashangazi. Hata wale waliotoeroka ofisi au kukatalia fomu za wagombea. Ni wengi ni wengi mno kusema jaji mkuu ni kumtwika mzigo peke yake. Yaani yanotokea utafikkiri yamepangwa kumbe sio ila tu tumeingia ndani na kuyaona live.
Ni vizueri walioshiriki dhuluma wakaungama hadfharani. Mbowe aliitisha maridhiano hapo unaona umuhimu wake
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
 
Naunga mkono hoja hii, alinde heshima
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Umebaki kukariri tuu huna point yeyote kila thread una copy na paste haya maneno tuu,safar hii lazima upewe mimba na vijana wa bavicha
 
jaji mkuu mnafiki kabisa kila shuhuli ya mzee pombe yupo utadhani hana majukumu.

Kuna siku Mzee Pombe alimuahidi atampa fungu la kuboresha majengo ya mahakama na mkumsisitiza ahakikishe eti kesi zote zinazohusu jamhuhuri lazima jamhuhuri ishinde.
 
Naunga mkono hoja. Pia Ndugu gay na IGP Sirro nao wajiuzulu. It's shame!
 
Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?
Maadili ya Mahakama yaliwekwa kando na kutekeleza maagizo ya Mtu.
 
Naunga mkono hoja, jaji mkuu na mkuu wa jeshi la polisi ziro lazima wawajibike na jinsi vyombo vyao vilivyokuwa vinafuata amri kutoka kwa meko.
 
Kinachonisikitisha ni kuwa Nchi yetu inaongozwa kwa utashi wa mtu alie madarakani!Kama tulikosea tukampa kichaa nchi mjue ni pale tu Mungu atakapomchukua ndio nchi itapona!!TZ HAKUNA UHURU WA KIMAMLAKA KUDHIBITI MAMLAKA NYINGINE!!!!KATIBA MPYA NDIO SULUHISHO PEKEE!!
 
Mungu anatupenda sana, katolewa mmoja ili Taifa lipate uhuru....
 
dah, nina mashaka sana uachiaji huu holela (horera?) wa hawa wahuni.........mama awe makini sana. hakuna watu wasiokuwa na shukrani km hawa. halafu kwani ni lazima ku.......?!! dah, ngoja ninyamaze kwanza ila kulaumika ni sehemu ya oungozi pia hivyo lisiogopwe hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…