Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Watu wengine ambao wameajiliwa watende haki na kazi yao inawataka watende haki halafu wanaacha miiko ya kazi yao ya kutenda haki na kuamua kuterekeza maadili ya kazi zao kwa kufuata maelekezo ya mtu mmoja,ukiwataka wajiuzuru utakuwa hujawatendea haki,hao wanatakiwa wafe kabisa wamfuate baba yao aliko ili baadae akizaliwa dikteta mwingine wasije wakabadilika tena, wakaanza kuumiza wananchi kwa kufuata maelekezo ya dikteta mpya.