Namshauri Jaji Mkuu ajiuzulu

Naunga mkono.
Sekta ya Mahakma na uhimili wake umekuwa kichekesho.
Nina ndugu Jaji Mhakama Kuu, wakati wa Mwendazake alikiri kuchoshwa kwa kuingiliwa kikazi na aitaka kustfu mpema.
 
Mahakama zilikuwa kichochoro cha kubambika uonevu na mwendazake.
Mahakimu, Majaji, wote waliishi kwa terror !
 
Mtu ambae anaongoza muhimili unaoogopa kutoa haki ili kuepuka mgongano na bunge/serikali, HATUFAI.
Migongano ikiwekwa hadharani ndio inasaidia kufichua na hivyo kuwezesha kuondoa udhaifu wa sheria/katiba iliyopo.
 
Mtu ambae anaongoza muhimili unaoogopa kutoa haki ili kuepuka mgongano na bunge/serikali, HATUFAI.
Migongano ikiwekwa hadharani ndio inasaidia kufichua na hivyo kuwezesha kuondoa udhaifu wa sheria/katiba.
 
Uko sahihi kabisa, je kesi yake huko mahakamani ilikuwa ni juu ya hili? Tuchukulie hii ndio sababu japo kesi ni ya kubambikiwa madawa, kama kauli hii ilikuwa tatizo, kwanini yule aliyesema Zito auwawe hakubambikiwa kesi ya madawa pia?
AU yule aliyesema HADHARANI kuwa, Lisu akirudi, atammuua kwa kumchoma sindano ya sumu, aliitwa popote kujieleza?
 
Mwendazake aliuminya, sasa hivi nao umeanza kupumua kama sisi. Jaji Mkuu alibaki cheo tu mamlaka yote ya kikatiba alipokwa!!
 
Umenena vyema.
 
Kabla hujaleta mada jitahidi kufahamu nani mwenye majukumu ya kupeleleza uhalifu, kufungua mashtaka, kutoa maamuzi na hata kukamata wahalifu.
 
Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?
Unalingalisha jaji kukataa kupindisha hukumu na mie kufanya maandamano kwenda ikulu? Wapi mie niliapa nitaandamana kwenda ikulu kudai haki ikiwa mtu mwingine akipindishiwa hali zake? Tumia common sense kidogo tu utaheshimika na jumuia
 
Lini mtaipindua serikali??
 
Sio serikali hii inawashinikaza waachiwe huru hata kama makosa yapo lakini kama yanakisingizio cha siasa waachiwe huru? Kila mtawala na maelekezo yake hata kama ni ya kufumba macho
 
Lini mtaipindua serikali??
Kupindua serikali mambo ya kizamani. Siku hizi ukizidi wewe ndio unafanyiwa dili mpira uwekwe kati ngoma ianze upya. Na kwa nini u-fix kitu kinachofanya kazi vizuri? Amini nakuambia, huyo jamaa yako uamuzi ulishachukuliwa

Angalia hapa, na tazama ni post ya lini

 
Hadi sasa hivi Tanzania kuna Prof. mmoja tu. The one and only Prof. Musa Assad. Wengine wote waliobaki ni wachumia tumbo tu!
 
Sijaona ukifanya haya mkuu.

Tatizo nini labda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…