Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Thubutu yenu. Akijaribu kulazimisha ajiandae kuwekewa vikwazo vizito zaidi ya Zimbabwe. Ajiandae kufunguliwa mashtaka mazito na uchunguzi juu wa ICC. Wanajua ya Mkiru. Wanasubiri muda tuAtendelea hapa na hao mabwana zenu watakuja kumpigia makofi siku anaapishwa