Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Atendelea hapa na hao mabwana zenu watakuja kumpigia makofi siku anaapishwa
Thubutu yenu. Akijaribu kulazimisha ajiandae kuwekewa vikwazo vizito zaidi ya Zimbabwe. Ajiandae kufunguliwa mashtaka mazito na uchunguzi juu wa ICC. Wanajua ya Mkiru. Wanasubiri muda tu
 
Thubutu yenu. Akijaribu kulazimisha ajiandae kuwekewa vikwazo vizito zaidi ya Zimbabwe. Ajiandae kufunguliwa mashtaka mazito na uchunguzi juu wa ICC. Wanajua ya Mkiru. Wanasubiri muda tu
Wakina Uhuru wameenda ICC wamerudi kuna jipya?? Museveni hapo? Kagame? DRC? Nyie mna kipi special cha kuwapa hao wazungu hadi wawakomalie shida zenu wenyewe ....pambaneni na hali zenu
 
Kwanini usiishauri Kwanza tume ifate kanuni ilizo kiwekea? Tena ni kanuni hizo hizo tume iliaminisha watu kuwa imetumia kuengua wagombea was upinzani.
Ndio maana tuliowengi japo hatushiriki mmoja kwa mmoja kwenye vyama vya siasa tulitaka tume huru kwanza ndani ya katiba mpya ndio tufanye uchaguzi mkuu.
Lakini baadhi ya vyama vikadhani vingeweza kupata mafanikio bila tume huru.
Kama haitoshi tumezoea kusikia kelele za "CCM ANANIUA " 1995,2000,2005,2010,2015, na 2020.
Tutamaliza hivyo hivyo bila kitu nakusubiri miujiza ya 2025.
Tutangulize utaifa sio ruzuku.
 
Wakina Uhuru wameenda ICC wamerudi kuna jipya?? Museveni hapo? Kagame? DRC? Nyie mna kipi special cha kuwapa hao wazungu hadi wawakomalie shida zenu wenyewe ....pambaneni na hali zenu
Umeshasema uhuru!! Unadhani uhur ni mjinga kama mtu wenu huyo???

Hao wote uliowataja wana mabaya yao ila at least wana akili kuliko huyo mjinga wenu!! Ushawai ona bunge la marekani likimjadili Kagame au Museveni ?? Au Kenyata?????

Huyo mjinga wenu hadi bunge la marekani linamjadili tena vibaya sana. Ajiandae tu kupotea
 
Ndio maana tuliowengi japo hatushiriki mmoja kwa mmoja kwenye vyama vya siasa tulitaka tume huru kwanza ndani ya katiba mpya ndio tufanye uchaguzi mkuu.
Lakini baadhi ya vyama vikadhani vingeweza kupata mafanikio bila tume huru.
Kama haitoshi tumezoea kusikia kelele za "CCM ANANIUA " 1995,2000,2005,2010,2015, na 2020.
Tutamaliza hivyo hivyo bila kitu nakusubiri miujiza ya 2025.
Tutangulize utaifa sio ruzuku.
Tanzania ilipoingia mfumo was vyama vingi .Jambo kubwa kabisa vyama vya upinzani vilitakiwa vidai tume huru ya uchaguzi kabla ya mengne.tume ya Sasa ilikuwa ya chama kimoja .na bahati mbaya tume inafikiri wagombea halali ni was CCM tu na was upinzani wanachukuliwa kama wasindikizaji,wakorofi.wazushi.yaani Mambo ya ajabu sana
 
Thubutu yenu. Akijaribu kulazimisha ajiandae kuwekewa vikwazo vizito zaidi ya Zimbabwe. Ajiandae kufunguliwa mashtaka mazito na uchunguzi juu wa ICC. Wanajua ya Mkiru. Wanasubiri muda tu
Wewe unachekesha vikwazo vitamuumiza nani zaidi kama sio watu maskini wa Tanzania?
Kama umesahau Zimbabwe waliokuwa wanapiganiwa ni wazungu wakulima walionyanganywa mashamba makubwa,na si ardhi ndogo.
Kwa Tanzania ni tofauti sana ni watu weusi wanaodai vikwazo kama wewe.
Toka lini Beberu akakumbatia mtu mweusi?
 
Wana agenda yao, wanahitaji huruma ya wananchi, wanahitaji matamko ya mabepari lakini mwisho wa yote no tarehe 28 Oktoba.
Ipo siku pamoja na jeuri, dharau, kejeli na kadhalika mavuno yake watayaona. Siasa si chuki, siasa ni ushawishi, uuzaji wa mipango si kumtukana mtu, kukejeli, na kuongea vitu vya uongo na uchonganishi. Hizi si zama za ujima ambazo wananchi walikuwa hawaelewi, kwa sasa si wa nasikia tu bali pia wanaona.
Usisahau uchaguzi uwe wa haki na huru la sivyo msijidanganye[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unachekesha vikwazo vitamuumiza nani zaidi kama sio watu maskini wa Tanzania?
Kama umesahau Zimbabwe waliokuwa wanapiganiwa ni wazungu wakulima walionyanganywa mashamba makubwa,na si ardhi ndogo.
Kwa Tanzania ni tofauti sana ni watu weusi wanaodai vikwazo kama wewe.
Toka lini Beberu akakumbatia mtu mweusi?
Ndo vizuri. Vikwazo viliwafanya hata wanajeshi wasimvumilie tena Mugabe. Hata hapa Tanzania vikwazo vitafanya tusimvilie tena Magufuli na hata tusiwe wajinga kwake
 
Mwenye Busara huona mabaya na kujificha, bali mpumbavu huenda mbele na kuumia. Ni maombi ya watanzania karibia wote, Amani, Amani, Amani. Adui wa Amani, iwe kwa maslahi yake binafsi, mabeberu wake, ni adui wa Taifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Umesahau neno haki, bila hiyo kitu neno Amani ni useless.
 
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.

Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.

Kila mtu anaona injustice inayotokea.

Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Asimame asisimame kama lengo lao ni kumuengua watamuengua tu.

Hizo ni chochochoko za kushikwa makalio mkeo alafu ukasema bora unyamaze. Keaho utakuta njemba zinammega mkeo tena kitandani kwako usipojipanga.

Acha kumlisha roho ya uoga Lissu. Anazifahamu haki zake na huwezi kumzuia hata kwa lisasi 16
 
Tanzania ilipoingia mfumo was vyama vingi .Jambo kubwa kabisa vyama vya upinzani vilitakiwa vidai tume huru ya uchaguzi kabla ya mengne.tume ya Sasa ilikuwa ya chama kimoja .na bahati mbaya tume inafikiri wagombea halali ni was CCM tu na was upinzani wanachukuliwa kama wasindikizaji,wakorofi.wazushi.yaani Mambo ya ajabu sana
Angalia huyo Maalim Seif vipindi vyote vya uchaguzi kule Zanzibar anadai ameshinda lakini hatangazwi,na bado anazidi kugombea kwa tume hiyo hiyo.
 
Ndo vizuri. Vikwazo viliwafanya hata wanajeshi wasimvumilie tena Mugabe. Hata hapa Tanzania vikwazo vitafanya tusimvilie tena Magufuli na hata tusiwe wajinga kwake
Kwa mtaji gani?Hao wanajeshi walichofanya ni kumuondoa karagosi mmoja na kumbandika mwingine.Na kuwarudishia ardhi wazungu,na vikwazo bado havijaondolewa.
Maandamano ndio kwanza yamezidi na vurugu zipo zaidi.
 
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.

Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.

Kila mtu anaona injustice inayotokea.

Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Kwani si ana kirungu cha umakam mwnyekiti, kinachomwezesha kuwapigia kampeni wabunge na madiwani, atumie hicho kwa siku saba,
 
Umeshasema uhuru!! Unadhani uhur ni mjinga kama mtu wenu huyo???

Hao wote uliowataja wana mabaya yao ila at least wana akili kuliko huyo mjinga wenu!! Ushawai ona bunge la marekani likimjadili Kagame au Museveni ?? Au Kenyata?????

Huyo mjinga wenu hadi bunge la marekani linamjadili tena vibaya sana. Ajiandae tu kupotea
Haha Marekani sio Mungu wewe kama mnamlamba miguu ni nyie wenyewe na shida zenu,, sio upande huu atabweka tu maisha yanasonga watu hawatishiki sasa na hao wazungu wenu duniani kuna shift of power balance kwa sasa .......wajadili tu ila hamna watakalofanya
 
Nina uhakika huna ubavu huo wakuingia barabarani ila ni hapa JF tu!
Msipende sana kuwapima watu kwa njia ya vurugu. Tafuteni njia za amani hii nchi ni yetu sote. Lolote litakalotokea liwe baya au zuri litampata kila mtu haitajarisha wewe ni upande upi.

Wale mnaowaona waoga hawawezi kuingia barabarani hivyo mnaamua kwa ubabe, ipo siku italigharimu taifa hili. Tuache ushabiki wa kishamba. Tuwe tunafurahia kuona maamuzi yanakua ya haki na sio ya kuonea mtu. Hivyo ndivyo tutakavyolifanya taifa letu lisonge mbele.

Labda kama una manufaa binafsi juu ya hili
 
Hakuna injustice yoyote anayofanyiwa Lissu ni upumbavu wake tu anajijaza kiburi kulata sifa.

Vitabu vya dini vimeagiza kuziheshimu mamlaka. Ukitaka kujua hafai kuwa kiongozi ni kauli aliyosema akishindwa uchaguzi hatakubali, hii maana yake ni nini? anafahamu wangapi watampigia kura? Achana na akili uliyoenda shule, tumia ile kabla hujaenda shule wanaitaga aKili ya kuzaliwa utaona wazi Lissu amekuja kigomvi. Na sio bure wazungu wake wamemdanganya akianzisha vurugu watapaza sauti kuomba serikali ya makubaliano kwamba waziri mkuu au kiongozi mkubwa yeyote atoke upinzani. Tundu Lissu yupo tayari kuanzisha vita Tanzania na ikitokea yeye anaenda zake ubeligiji kujigijigi anawaacha mnapambana wenyewe na njaa zenu.
Unaijua vita au unaeneza propaganda zisizo na kichwa wala miguu?

Anachokifanya Lissu ni kupigania haki yake. Na kumbuka sisi watanzania ni waoge kwenye kupigania haki zetu. Tukiona mtu anasimama kidete hataki kuonewa, tunamuona ni mgomvi, ana kiburi, anataka sifa na mengine mengi ya aina hiyo.

Kama wito wake au usimamishwaji wake haunafuata sheria, ana haki ya kupigania.

Sitaki kuamini kuwa Lissu eti hajui alifanyalo
 
Back
Top Bottom