Namshauri Mangungu wa Simba astaafu kwasababu anaweza kuendelea kuvunjiwa heshima

Namshauri Mangungu wa Simba astaafu kwasababu anaweza kuendelea kuvunjiwa heshima

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake

Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima

Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu

Wanaomvunjia heshima wanaweza kuzidisha maumivu ndani ya nafsi yake
 
Back
Top Bottom