Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika.

Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako.

Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto. Nilianza kupiga punyeto mwaka 1993 nikiwa form 2 na niliendelea kupiga punyeto hata nilipoingia kwenye ndoa. Nilijaribu kwa kila njia kuacha tabia hii lakini nikashindwa. Ila baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye mwaka huu nimeweza kufanikiwa kuachana na tabia hii.

Pia namshukuru Mungu kwa kuweza kuniachisha tabia ya ulevi wa pombe. Pombe ilikuwa imenitawala sana, ufanisi wangu kazini ulishuka sana, nimeharibu kazi sehemu mbalimbali nankutimuliwa sababu ya pombe. Lakini mwaka huu, mkono wa Bwana umekuwa mkubwa sana juu yangu. Ile kiu ya pombe na ulevi uliopitiliza imekata kabisa. Naweza kuwepo sehemu yenye pombe nyingi tu, tena za bure, lakini sitamani hata kusikia harufu yake. Ni Mungu tu amenisaidia, sijatumia hirizi wala mizizi, ni maombi tu.

Pia nilikuwa na tatizo la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Kwangu mwanamke nilikuwa namgeuza kama samaki, nakula hadi mifupa, namgeuza kusini mpaka kaskazini, magharibi na mashariki.

Mungu ni mwema sana, sasa sijisikii kabisa kuingiza tundu lile, hakika Mungu ni mwema sana kwangu.

Wadada wengi niliokuwa nawafyatua, wanasema wanatamani niwagegede, jibu langu limekuwa ni moja tu, sitaki. Basi wanaishia kutukana tu, umenifundisha mwenyewe sasa mimi nani atanifanya hivi? Nawajibu huko wafuraji mbona wengi tu, utakutana nao hukohuko.

Ninamshukuru Mungu kwa kunionekania mwaka huu 2022. Hakika hakuniacha bure.
 
Kawaachishe kazi ya kuliwa ndogo uliyowafunza ili Mungu awe mwema kwako Mana kilio Chao na utumwa uliowapa itabaki kuwa laana kwako.... Mana bila wewe wasingeliwa ndogo.
 
Hivi mnaachaje utelezi swaafi kabisa mnakula tope ? Hamkutani na machicha ? Vipi zile in and out amna michuzi iliyosambamba na harufu Kali ,,,,

Kweli tumetofautiana Sana !
 
Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika.

Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako.

Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto. Nilianza kupiga punyeto mwaka 1993 nikiwa form 2 na niliendelea kupiga punyeto hata nilipoingia kwenye ndoa. Nilijaribu kwa kila njia kuacha tabia hii lakini nikashindwa. Ila baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye mwaka huu nimeweza kufanikiwa kuachana na tabia hii.

Pia namshukuru Mungu kwa kuweza kuniachisha tabia ya ulevi wa pombe. Pombe ilikuwa imenitawala sana, ufanisi wangu kazini ulishuka sana, nimeharibu kazi sehemu mbalimbali nankutimuliwa sababu ya pombe. Lakini mwaka huu, mkono wa Bwana umekuwa mkubwa sana juu yangu. Ile kiu ya pombe na ulevi uliopitiliza imekata kabisa. Naweza kuwepo sehemu yenye pombe nyingi tu, tena za bure, lakini sitamani hata kusikia harufu yake. Ni Mungu tu amenisaidia, sijatumia hirizi wala mizizi, ni maombi tu.

Pia nilikuwa na tatizo la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Kwangu mwanamke nilikuwa namgeuza kama samaki, nakula hadi mifupa, namgeuza kusini mpaka kaskazini, magharibi na mashariki.

Mungu ni mwema sana, sasa sijisikii kabisa kuingiza tundu lile, hakika Mungu ni mwema sana kwangu.

Wadada wengi niliokuwa nawafyatua, wanasema wanatamani niwagegede, jibu langu limekuwa ni moja tu, sitaki. Basi wanaishia kutukana tu, umenifundisha mwenyewe sasa mimi nani atanifanya hivi? Nawajibu huko wafuraji mbona wengi tu, utakutana nao hukohuko.

Ninamshukuru Mungu kwa kunionekania mwaka huu 2022. Hakika hakuniacha bure.
Mungu akusimamie usirudi misri tena
 
Hivi mnaachaje utelezi swaafi kabisa mnakula tope ? Hamkutani na machicha ? Vipi zile in and out amna michuzi iliyosambamba na harufu Kali ,,,,

Kweli tumetofautiana Sana !
Hamna dhambi nzuri, ukiwa una Gemma, unaona poa tu
 
Back
Top Bottom