KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #21
Kuutangaza ukuu wa Mungu natakiwa kulipa shilingi ngapi?usisahau lipia tangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuutangaza ukuu wa Mungu natakiwa kulipa shilingi ngapi?usisahau lipia tangazo
AmenHaleluyaaa ahidimiwe Bwana wa mabwana
Mpaka upigwe penador mwaka mzima ndio utatia akiliNgoja sisi tuendelee ulipoishia mkuu.
Mkuu huo mwaka wako wakuaanza punyeto ndo nazaliwa,yani uliwatoa watoto wako mwaka huo kwa punyeto sasa hivi tungekuwa na umri sawa,maisha hayako fair.kabisaWatu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika.
Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako.
Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto. Nilianza kupiga punyeto mwaka 1993 nikiwa form 2 na niliendelea kupiga punyeto hata nilipoingia kwenye ndoa. Nilijaribu kwa kila njia kuacha tabia hii lakini nikashindwa. Ila baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye mwaka huu nimeweza kufanikiwa kuachana na tabia hii.
Pia namshukuru Mungu kwa kuweza kuniachisha tabia ya ulevi wa pombe. Pombe ilikuwa imenitawala sana, ufanisi wangu kazini ulishuka sana, nimeharibu kazi sehemu mbalimbali nankutimuliwa sababu ya pombe. Lakini mwaka huu, mkono wa Bwana umekuwa mkubwa sana juu yangu. Ile kiu ya pombe na ulevi uliopitiliza imekata kabisa. Naweza kuwepo sehemu yenye pombe nyingi tu, tena za bure, lakini sitamani hata kusikia harufu yake. Ni Mungu tu amenisaidia, sijatumia hirizi wala mizizi, ni maombi tu.
Pia nilikuwa na tatizo la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Kwangu mwanamke nilikuwa namgeuza kama samaki, nakula hadi mifupa, namgeuza kusini mpaka kaskazini, magharibi na mashariki.
Mungu ni mwema sana, sasa sijisikii kabisa kuingiza tundu lile, hakika Mungu ni mwema sana kwangu.
Wadada wengi niliokuwa nawafyatua, wanasema wanatamani niwagegede, jibu langu limekuwa ni moja tu, sitaki. Basi wanaishia kutukana tu, umenifundisha mwenyewe sasa mimi nani atanifanya hivi? Nawajibu huko wafuraji mbona wengi tu, utakutana nao hukohuko.
Ninamshukuru Mungu kwa kunionekania mwaka huu 2022. Hakika hakuniacha bure.
Ndio hivo chaliiMkuu huo mwaka wako wakuaanza punyeto ndo nazaliwa,yani uliwatoa watoto wako mwaka huo kwa punyeto sasa hivi tungekuwa na umri sawa,maisha hayako fair.kabisa
Hii ndefu sana, punguza kidogoKama 1993 ulikua form 2 na unapiga mkono bao, mpka leo ni 29 yrs za exclusive raha jipe mwenyewe..🤔🤔🤔
Aisee, kama umesoma cuba utaelewa hiki kuhusu huyu jamaa
View attachment 2385233
Hahahahaa umeua wengi sanaNdio hivo chalii
Nimetubu. Mungu ni mwingi wa rehemaHahahahaa umeua wengi sana
Mpakwa mafuta- Kristo/ Masihi.We inaonekana kila starehe umefanya ww, hujawahi pakwa mafuta kweli
Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika.
Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako.
Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto. Nilianza kupiga punyeto mwaka 1993 nikiwa form 2 na niliendelea kupiga punyeto hata nilipoingia kwenye ndoa. Nilijaribu kwa kila njia kuacha tabia hii lakini nikashindwa. Ila baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye mwaka huu nimeweza kufanikiwa kuachana na tabia hii.
Pia namshukuru Mungu kwa kuweza kuniachisha tabia ya ulevi wa pombe. Pombe ilikuwa imenitawala sana, ufanisi wangu kazini ulishuka sana, nimeharibu kazi sehemu mbalimbali nankutimuliwa sababu ya pombe. Lakini mwaka huu, mkono wa Bwana umekuwa mkubwa sana juu yangu. Ile kiu ya pombe na ulevi uliopitiliza imekata kabisa. Naweza kuwepo sehemu yenye pombe nyingi tu, tena za bure, lakini sitamani hata kusikia harufu yake. Ni Mungu tu amenisaidia, sijatumia hirizi wala mizizi, ni maombi tu.
Pia nilikuwa na tatizo la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile. Kwangu mwanamke nilikuwa namgeuza kama samaki, nakula hadi mifupa, namgeuza kusini mpaka kaskazini, magharibi na mashariki.
Mungu ni mwema sana, sasa sijisikii kabisa kuingiza tundu lile, hakika Mungu ni mwema sana kwangu.
Wadada wengi niliokuwa nawafyatua, wanasema wanatamani niwagegede, jibu langu limekuwa ni moja tu, sitaki. Basi wanaishia kutukana tu, umenifundisha mwenyewe sasa mimi nani atanifanya hivi? Nawajibu huko wafuraji mbona wengi tu, utakutana nao hukohuko.
Ninamshukuru Mungu kwa kunionekania mwaka huu 2022. Hakika hakuniacha bure.
😂😂😂Kama 1993 ulikua form 2 na unapiga mkono bao, mpka leo ni 29 yrs za exclusive raha jipe mwenyewe..🤔🤔🤔