Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

Mkuu huo mwaka wako wakuaanza punyeto ndo nazaliwa,yani uliwatoa watoto wako mwaka huo kwa punyeto sasa hivi tungekuwa na umri sawa,maisha hayako fair.kabisa
 
Kama 1993 ulikua form 2 na unapiga mkono bao, mpka leo ni 29 yrs za exclusive raha jipe mwenyewe..πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Aisee, kama umesoma cuba utaelewa hiki kuhusu huyu jamaa
 
We inaonekana kila starehe umefanya ww, hujawi pakwa mafuta kweli
 
We inaonekana kila starehe umefanya ww, hujawahi pakwa mafuta kweli
 

Hongera sana kwa kuingia msimu mpya.Ila jambo moja la kufanya ni kuwasaidia na wenzako wenye tatizo kama hilo.Mfano,wale uliokuwa ukifanya nao uzinzi wakikujia wambie ukweli kwamba kwa sasa umeokoka na pia yuko Mungu ambaye amekubadilisha maisha.Washuhudie pia nao wapate hiyo neema uliyoipata.wala usijibu kama hivyo unavyofanya.sababu nao wameshashikwa na nguvu za kipepo za kiu ya kuingiliwa kinyume.

Kama kuna jambo ambalo siyo jepesi kuliacha,narudia tena siyo jepesi kuliacha ni kuacha uzinzi.unzinzi una kiu ya ajabu sana.Nami nilipata shida kubwa sana kuushinda.kimsingi ilikuwa ndiyo dhambi ya mwisho kuiacha.vitu vingine nilifanikiwa kupambana nazo kwa wepesi zaidi.Ila uzinzi nilikuwa naacha lakini narudia tena naacha narudia tena,tena kitu cha ajabu ukidhamiria kuacha uzinzi ,mazingira ya uzinzi yanajitengeneza na kujirahisisha.Nilipambana mpaka nilipomwambia Mungu anisaidie kwa hili kwa sababu nataka kuishi maisha ya jinsi ya kumpendeza yeye.Si mimi
ila ni Mungu mwenyewe aliyenipa neema yake ya kunishindia na uovu huu.

Ila,trust me, maisha ya bila uzinzi na uasherati ni matamu zaidi kuliko ya uasherati na uzinzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…