Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Mkuu hongera sana!!
Aisee Acha na mm nivute jiko.
Wadada kwa alie tayari kuwa wife wangu aje PM.
 
Haya na Mimi natafuta jamani mke mwema. Nimpeleke kwetu
 
Weeeeeeh thubutuuuuu
Huo muda anautoa wapi na Schedules zake zilivo tight!!
Yupo bize kuanzia asubuhi mpaka Jioni Akitoka hapo akili yote hoii kwa kazi anayofanya khakhaakhaa Smart911 the small boss hacheki na kimaa serious hata kazini wanamjua
Akitoka huyoo nyumbani hana vya kuzururazurura straight hom tunapumzika kidogo story mbiltatu haoo tunatoka pamoja.
Smart911 ni wa kipekee sana sijawahi ona I'm so lucky to have this man
Ngoja nikubadilishe kabila uwe mhehe ili badae ujinyongeee
 
Back
Top Bottom