Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

At work
He's bize kidogo unajua tangu alhamis hakuwa kazini mpaka leo jumanne
As a small boss Engineer mwenyewe program won't run bila yeye
Yeye ndo Engineer kazini so lazima ahakikishe sector zote program zinakwenda na watu wanachapa kazi khakha mengine

Wacha nifunge domo langu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Mtaomba sana hahaha hatuachaniiii tunapendanaaaa tumekutana wote wapole watararibuuuuu hatuna hulka wa paparaaaaa
Nakupenda sana Smart911 wamie
Kazini ulipo pokea my kisses
Muah muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah

Smart911 wangu Amich you already

Sana love... you are very polite i know that... you are sweet and beautiful love... napenda sana the way you smile and vile unavyoona aibu tukiwa tunongea... unaaibu mpaka unafunga macho...
 
Kumbe bado hujaoa, kwanini umeanza kumwita mkeo? Rubi nashukuru kwa kuendelea kunisubiri kama tulivyopeana ahadi tukiwa cheichei
 
Ndo yupo kwenye plan za kuja babuu bado anajiandaa vya kutosha siunajua Usawa wenyewe huu mara shuka la babu sijui kapu la bibi teh

Smart911 you are needed na babuu

We already talked about this love, wazazi mbona wametuona pamoja... ila hawajajua kama mimi ni wewe ni vile... soon, very soon ugeni utawajia...
 
Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za kumbembeleza akashindwa kabisa kunikubali pengine baada ya kujua biashara yangu ( kuuza na kusambaza majeneza, sanda na vifaa vyote vya kuzikia).

Nilitumia kila njia kumbembeleza pamoja na kuahidi kumwoa na kumpa kila atakachotaka lakini ilishindikana. Kama ujuavyo kila jambo hupangwa na Mungu, kuna member waliokuja Pm ili kutaka japo kunifariji.

Mwisho wa yote kuna mdada mmoja akavutiwa na mimi na kuanza mawasiliano ambapo baadae tulikubaliana kuonana nikamtumia nauli akaja Dom tukafahamiana she is naturally beauty na amekubaliana na maisha yangu na tuko katika maandalizi ya kwenda kweo kutoa posa.

Nimeamini kwamba sio kila mwanamke aliye JF ni malaya au mchunaji kuna wanawake wako serious kuolewa. Ningemtaja lakini kulingana na umaarufu wake hapa jukwaani sintomtaja mapema mpaka tukishafunga ndoa. Ana elimu nzuri na ni mwajiriwa serikalini na ameikubali kazi yangu.

Nawashukuru mods na waanzilishi wa JF pamoja na wote mlioniombea mema.
Hongera sana kwa kupata mke humu.
 
Haaaaa kumbe wewe ndio upo hapo mitaa ya airport haya bwana....
 
Weeeeeeh thubutuuuuu
Huo muda anautoa wapi na Schedules zake zilivo tight!!
Yupo bize kuanzia asubuhi mpaka Jioni Akitoka hapo akili yote hoii kwa kazi anayofanya khakhaakhaa Smart911 the small boss hacheki na kimaa serious hata kazini wanamjua
Akitoka huyoo nyumbani hana vya kuzururazurura straight hom tunapumzika kidogo story mbiltatu haoo tunatoka pamoja.
Smart911 ni wa kipekee sana sijawahi ona I'm so lucky to have this man

Love Alhamisi hii usisahu, nimekuambia mapema... kutakuwa na party you need to be around, i will make a suprise introduction... don't ask me what but its a surprise... the only hint i can give you is, its about you... don't get to excited... ushindwe ku enjoy...
 
Pia kuna special day Friday ni full rahaaa mnaanza na..... Then mnaenda kwenye vinywaji unakunywa chochote kile buree kabisa malipo hayakuhusu wewe ni kunywa tani yako ...

Hapa naomba Smart911 The small boss mwenyewe aje atoe mwongozo vizuri hapa nisiwe Msemaji sana
Mengine Wacha nifunge domo langu mie

Kuna Thursday pia love... ya thursday you need to be around, because its all about you... yeah Ijumaa ni ya kawaida sana love... hiyo ni vinywaji chakule na mziki... Party za Ijumaa zipo tu kila Ijumaa hazina ubishi ni wewe tu love...

Yeah Thursday it is special for you...
 
Mkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure
Jifunze kuishi kwa imani kaka, mm mwnyew napitia mapito magumu ila najipa moyo ntashinda
 
Back
Top Bottom