Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za kumbembeleza akashindwa kabisa kunikubali pengine baada ya kujua biashara yangu ( kuuza na kusambaza majeneza, sanda na vifaa vyote vya kuzikia).

Nilitumia kila njia kumbembeleza pamoja na kuahidi kumwoa na kumpa kila atakachotaka lakini ilishindikana. Kama ujuavyo kila jambo hupangwa na Mungu, kuna member waliokuja Pm ili kutaka japo kunifariji.

Mwisho wa yote kuna mdada mmoja akavutiwa na mimi na kuanza mawasiliano ambapo baadae tulikubaliana kuonana nikamtumia nauli akaja Dom tukafahamiana she is naturally beauty na amekubaliana na maisha yangu na tuko katika maandalizi ya kwenda kweo kutoa posa.

Nimeamini kwamba sio kila mwanamke aliye JF ni malaya au mchunaji kuna wanawake wako serious kuolewa. Ningemtaja lakini kulingana na umaarufu wake hapa jukwaani sintomtaja mapema mpaka tukishafunga ndoa. Ana elimu nzuri na ni mwajiriwa serikalini na ameikubali kazi yangu.

Nawashukuru mods na waanzilishi wa JF pamoja na wote mlioniombea mema.
Umepata mchumba sio mke. Au mie ndio sielewi?
 
At work
He's bize kidogo unajua tangu alhamis hakuwa kazini mpaka leo jumanne
As a small boss Engineer mwenyewe program won't run bila yeye
Yeye ndo Engineer kazini so lazima ahakikishe sector zote program zinakwenda na watu wanachapa kazi khakha mengine

Wacha nifunge domo langu

mahondaw love... don't let anyone make you speak more about ourselves... to much of information is harmful love... sssshhhhhh... taratibu love... usimwage mchele sana kwenye kuku wengi...

# Mengine mezea love #
 
Weeeeeeh ashindwe kabisa Naanzaje kwa mfano??
Vile nimeshikwa na Smart911 ni hatareeeeeeeeeeeeeeee balaaaaa yani kanishika pabayaaa mulemule yani Smart911 kibokoooooooooo
I do love this kijana sanaaaaa


Love you sana my mahondaw , nawaza mauno yako... hahaha... ati ukasema mimi ndiyo nimekufundisha nini... hahaha... baada kidogo love.. wacha nifanye kazi love...
 
Ofcourse he's very busy man when it comes to work I know my man very well !

Smart911
You are such a very understanding, lovely and sweet young lady... You only think positive no matter what love... Maneno yapo love.. Kila kukicha ni maneno... Lets be strong..
 
Sawa nimekuelewa Smart911 wangu
Wacha nifunge domo langu hahhah
Nishakuelekeza vizuri sana mahondaw wangu... Don't allow people to provoke you to the point you expose yourself...

Don't give anyone the benefit of knowing you much... Jua what what doesn't kill you makes you stronger...

Usijali what people say... Always stay calm, set back, relax have fun...


Love you sana mahondaw wangu...
 
Back
Top Bottom