Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Dah mkuu hongera sana maana humu mkuu kuna wengi hawaaminiki kwa kweli
tunaogopa kupelekwa mabwe kwenye kugaiwa viwanja kama Dk Ulimboka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe mwanzoni sikumwamini sana huyu ila kwa sasa nimeshamzoea na kuona kweli nimepata mke mwema.!
Halafu kuna watu ukiwaona humu jukwaani halafu ukaja kuonana nao live ni tofauti kabisa na zile story za pumba wanazokoment.
Kuna wengi huingia Jf ili kuondoa stress mimi pia ni mmoja wao lakini tukikutana live utashangaa.!
Ndivyo ilivyotokea kwa mimi na huyu member mwezetu (shemeji/wifi yenu)
 
Mkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure
 
kweli tupo
 
Ni kweli kabisa unachosma... Kuna watu humu tofauti kabisa na ukikutana nao face to face...


Siku ya kwanza nakutana na mahondaw face to face sikuamini kama ni yeye ambaye amekuwa mtundu mtundu sana JF... Ana aibu sana... Mataratibu.. Mpole.. Msikilizaji.. Muelewa... Na mwenye mapenzi ya kweli... Sauti yake sasa ya upole na unyenyekevu balaa... Alafu ni mwanamke anayejitambua...

mahondaw, Smart911 loves you sana...



Nakuunga mkono Mbwa dume
 
Duuu umenipa ufumbuzi nilikua. Nimeshaomba. Nitaftiwe. Mkee mkoani kwetu nasitisha malamoja. Nitamtafta. Umuumu. Mwanamke. Angaliwi kilimo. Mjini. Akuna mashamba naktakia mafanikio mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…