Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Nielekeze mkuu ili niongeze umakini[emoji4]
hata nikikuelekeza huwezi elewa ndomana nimekwambia likikupata siku ndo ntakwambia hilo degedege la ukubwani ulokuwa unaliulizia ndo hilo
 
Hongera Mkuu, ila hata ningekua mm ningekataa biashara ya kuuza majeneza hahahah hapana ningekimbia

Mala 100 auze mitumba lakin majeneza hapana
 
Aisee mkuu hongera sana, kwa hiyo Mbwajike kapatikana?
[HASHTAG]#Jokes[/HASHTAG]
 
hapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa

πŸ™πŸ™πŸ™

Kwa ataekuwa na huyo kiumbe anahitaji mioyo ya ziada if possible hata mioyo mitatu mitatu make kwa moyo mmoja huu wa damu na nyama huu ...........

tena hiyo mioyo mi3 iwe ya chuma [emoji23] Daby n changamoto

[emoji57][emoji57] mimi kiumbe sio...! Ama nini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…