mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
I am trying to imagine how Shunie will be likeNi kweli kabisa unachosma... Kuna watu humu tofauti kabisa na ukikutana nao face to face...
Siku ya kwanza nakutana na mahondaw face to face sikuamini kama ni yeye ambaye amekuwa mtundu mtundu sana JF... Ana aibu sana... Mataratibu.. Mpole.. Msikilizaji.. Muelewa... Na mwenye mapenzi ya kweli... Sauti yake sasa ya upole na unyenyekevu balaa... Alafu ni mwanamke anayejitambua...
mahondaw, Smart911 loves you sana...
Nakuunga mkono Mbwa dume
Kweli kabisaBro You are mistaken I think!
Anyway sio wewe walaaaa namaanisha mwingine kabisaa kuna mmoja alitaka kuleta habari za kuna petro na kuna yuda akajishaua eti don't quote or mention me anywhere khakhaakhaa nikacheeeeekaa
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol mpaka waleo heshima inachukua mkondo wake
mzeewakungoa Maisha haya ukizoea watu sanaaaaa waeza hatarisha ndoa yako takatifu
Cc Smart911
Maisha ni hatua, hongera kwa hilo!I am trying to imagine how Shunie will be like
New ID.... another ID?Maisha ni hatua, hongera kwa hilo!
Anaanza kukaa kimya.... Women psychology.... Akikaa kimya ndo mwanzo wa kukubali ha ha ha haLi like like lol
vipi hujamsemesha mtoto akaelewa somo bado ?
Calm down love... calm down mahondaw wangu... Don't go there... Relax... I already told you... If u r angry talk to me... Shout to me... Relief ur anger on me... I can take it... You can even bite me... Am fine...
Na wewe pia ukinipigia ndogo ndogo sio mbaya.Li like like lol
vipi hujamsemesha mtoto akaelewa somo bado ?
Calm down love... calm down mahondaw wangu... Don't go there... Relax... I already told you... If u r angry talk to me... Shout to me... Relief ur anger on me... I can take it... You can even bite me... Am fine...
You have experienced them hug?
You have experienced them hug?
Basi nitamshirikisha
That's my girl... [emoji8] [emoji8] [emoji8] smile and be happy always... Usigombane na mtu/watu... Ukiudhika/udhiwa njoo umalizie hasira zako zote kwangu... I know how to handle you love...