mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
I am trying to imagine how Shunie will be likeNi kweli kabisa unachosma... Kuna watu humu tofauti kabisa na ukikutana nao face to face...
Siku ya kwanza nakutana na mahondaw face to face sikuamini kama ni yeye ambaye amekuwa mtundu mtundu sana JF... Ana aibu sana... Mataratibu.. Mpole.. Msikilizaji.. Muelewa... Na mwenye mapenzi ya kweli... Sauti yake sasa ya upole na unyenyekevu balaa... Alafu ni mwanamke anayejitambua...
mahondaw, Smart911 loves you sana...
Nakuunga mkono Mbwa dume