Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Wanaume mnauhakika gani kila mwanamke aliye mtandaoni ni malaya au mchunaji??? Mmetumia vigezo gani katika kupima?
 
Tutasubiria mrejesho maana naamini jf inaishi miaka dahari
 
Back
Top Bottom