Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hongera mbwa dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuamini biashara hii imenifanya niishi maisha mazuri namiliki nyumba nzuri na kausafiri ka maana japo sio ka bei sana.!Hongera Mkuu, ila hata ningekua mm ningekataa biashara ya kuuza majeneza hahahah hapana ningekimbia
Mala 100 auze mitumba lakin majeneza hapana
Put the super sub... Mzeewakungoa na Shunie.hapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa
Rafiki na mimi nataka!![emoji24] [emoji24] [emoji24]hongera sana Mungu atimize malengo yenu mfike mbali zaidi
Sisi tunaamini ukimwombea mwenzako dua nzuri kwanza inajibiwa kwa upande wako ha ha ha ha.hongera sana Mungu atimize malengo yenu mfike mbali zaidi
Put the super sub... Mzeewakungoa na Shunie.
Kuviruhusu vibinti kukusogelea shida saana. Acha kunifuatilia tulia na jamaa kama yupo real uolewe. Yalisha pita focus ya sasa mdada."pita hivi nipite vileee" Tehteh
Kuna mtu nilimwambiaga hii kauli enzi hizooo
Khakhaakhaa
Cc Smart911
You are no longer available Shunie.... We subiri andiko tu.kweli tupo