Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaaaa....Hahaha
Heri ya pasaka mpendwa, huyo mie nshamuacha sio jana....
Nshasahau tayari kwa afya ya moyo wangu!!!!
ShkamoAnhaaaaa....
Kumbe??
Nimesikitika sana, nimefadhaika sana.Shkamo
Mrejesho wakiachanaHongera kwa kuopoa mke mkuu.
Usisite kuleta mrejesho
InshallahMpendane tu
Naona unatafutwa na Bwana PepsiInshallah
Hahahahaa asa mbona hujasema ahsante babu?
Kosa sio languNimesikitika sana, nimefadhaika sana.
Nimeamua kumwachia Mungu.
marahabaShkamo
Yupo mbona na unamjua na kuwa makini usije kutekwaYukwapi?? Mi sina hizo taarifa mbona??
Mwambie sipatikani kabisaaa nalinda na kuchunga kushikilia na kupalilia kitu cha thamani nilichonacho
Cc Smart911
anawaza sana ngono mtoto huyu,, kwanza amepata kidume hapa JF bila kufanyiwa usaili.. vipi hatua gani zichukuliwe sheikh"Kumakutana" ndo kiswahili au kireno?