Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuuPole sana mzee
Kwamba mkuu wewe ndio mtaalamu wa kutuma maombi kwa MUNGUPole Sana Engineer ,jaribu kuwa unashare taarifa na baadhi ya watu mfano ungenijuza nadhani mapema Sana ningekuombea Kaka .
Dah kwahiyo Sasa hivi hata nikisema twende tupate maji kidogo sidhani Kama utakubali kwasasa .
Pole kaka
Ahsante SanaMungu ni mwema! ni habari njema kuwa umepona pole kwa yaliyotokea mkuu
So soil can get nutrients from you, bacteria and plant feed from you. Reduce population and competition for oxygen ,so don't be selfish my guyKwanini nife
Ahsante SanaPole Sana Engineer ,jaribu kuwa unashare taarifa na baadhi ya watu mfano ungenijuza nadhani mapema Sana ningekuombea Kaka .
Dah kwahiyo Sasa hivi hata nikisema twende tupate maji kidogo sidhani Kama utakubali kwasasa .
Pole kaka
Duh,sawa najua siku yangu itafikaSo soil can get nutrients from you, bacteria and plant feed from you. Reduce population and competition for oxygen ,so don't be selfish my guy
Hapana dalali mkuu wa maombi yapi yaende na yapi yasiendeKwamba mkuu wewe ndio mtaalamu wa kutuma maombi kwa MUNGU
Mkuu,Kwa nini tuamini tu?
Amina Amina tusiache kumtumaini MunguSalaam jamiiforum
Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo.
Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno.
Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo sawa.
Lakini niwapongeze madaktari wetu walifanya kazi kubwa mno,lakini ndugu ,jamaa na marafiki wameonesha upendo mkuu.
Lakini niwapongeze zaidi Dr Fred na Dr Zainab kwakufika nyumbani kwangu mara Kwa mara kuhakikisha nakuwa sawa mlinipa moyo,mkanifariji na kunitibu pia
Hatimaye Leo nimeenda kazini Kwa mara ya kwanza tangu niumie nilikuwa na hofu kiasi kulingana na maswaibu yangu,nikiwaza hatima yangu kwani sina muda mrefu ninge retire lakini kwanini iwe Kwa lazima kuliko umri
Nimekaa muda mrefu hospital,nimekaa muda nyumbani,kitu pekee nilikuwa nazuga nacho ni kuperuzi jamiiforum.
Heko kwa jamiiforum,ni moja ya mtandao bora kabisa na wenye watu makini,japo hata wenye mitazamo tofauti hawakosekani yote Kwa yote niwapongeze sana.
Lakini shukrani ni Kwa watu wa kijiji cha Jaribu mpakani,wilaya ya Kibiti.
Baada ya kunisaidia Kwa moyo wote
Pesa zangu kidogo,simu zangu zote niliziona,hongereni mwenyezi Mungu atawalipeni zaidi,pamoja na mabadiliko ya walimwengu lakini bado kuna binadamu wana mioyo safi.
Ujumbe.
Tuache dharau,
Tuheshimu kila mmoja hata kama ana kipato cha chini.
Atakaye kusaidia hatumjui
Usiku mwema
Hongera sio muda naacha piaAhsante Sana
Maji nilishaacha mkuu
Usiache Kwa kuiga mkuu,kunywa tu kistaarabu 😂Hongera sio muda naacha pia
HakikaAmina Amina tusiache kumtumaini Mungu
Kuamini unarugusiwa kuamini chochote, hata uongo. Ni haki yako ya kikatiba na kiutu. Sizungumzii imani, nazungumzia facts.Mkuu,
Najua kwenye mada hizi sikuwezi
Niseme tu kwamba ,Mimi naamini Kwa Mungu muumba,yaani hivi vitu havijaja tu,
Lazima kuna creator tu.yapo maajabu kibao yenye kuonesha uwepo wa muumba.
1.Usiku na mchana
2.majira ya mwaka
3.kupwa na kujaa Kwa bahari
4.uwepo wa jinsia mbili Kwa viumbe wote
5.Akili na maarifa ya mwanadamu tofauti na viumbe vyote
Najua hizi ni sababu nyepesi Sana kwako ila tuamini tu mkuu,
Watu tumepata majaribu na matatizo yaliyotufanya tuuone ukuu wa Mungu.
Lakini mkuu Nina swali,
Una watoto?
Na unawalea(umewalea )Kwa misingi ipi?
Dini ina msaada mkubwa hapa Duniani
Amina mkuuHakika Mungu ni mwema kakuingiza kwenye jaribu na umelishinda kwa ushindi,zidi kumtegemea yeye