Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

Kuamini unarugusiwa kuamini chochote, hata uongo. Ni haki yako ya kikatiba na kiutu. Sizungumzii imani, nazungumzia facts.

Hizo items 1 - 5 hakuna yoyote inayothibitisha Mungu yupo, umetumia logical non sequitur fallacy.

Watoto wanalelewa kwa kufundishwa ukweli wenye logical consistency.

Mungu angekuwapo hata usingekuwa na haja ya kuwafundisha lolote maana kila mtu angeelewa kila kitu vizuri tu.

Ukweli kwamba unahitaji kuwafundisha watoto at all ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Dah Kiranga on fleek😂
 
Lakini shukrani ni Kwa watu wa kijiji cha Jaribu mpakani,wilaya ya Kibiti.
Baada ya kunisaidia Kwa moyo wote
Pesa zangu kidogo,simu zangu zote niliziona,hongereni mwenyezi Mungu atawalipeni zaidi,pamoja na mabadiliko ya walimwengu lakini bado kuna binadamu wana mioyo safi.

Ujumbe.

Tuache dharau,
Tuheshimu kila mmoja hata kama ana kipato cha chini.
Atakaye kusaidia hatumjui

Usiku mwema
Pole sana. Hawa watu wa rufiji ni wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom