Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

Pole Sana Engineer ,jaribu kuwa unashare taarifa na baadhi ya watu mfano ungenijuza nadhani mapema Sana ningekuombea Kaka .

Dah kwahiyo Sasa hivi hata nikisema twende tupate maji kidogo sidhani Kama utakubali kwasasa .

Pole kaka
Kwamba mkuu wewe ndio mtaalamu wa kutuma maombi kwa MUNGU
 
Pole Sana Engineer ,jaribu kuwa unashare taarifa na baadhi ya watu mfano ungenijuza nadhani mapema Sana ningekuombea Kaka .

Dah kwahiyo Sasa hivi hata nikisema twende tupate maji kidogo sidhani Kama utakubali kwasasa .

Pole kaka
Ahsante Sana
Maji nilishaacha mkuu
 
Kwa nini tuamini tu?
Mkuu,
Najua kwenye mada hizi sikuwezi

Niseme tu kwamba ,Mimi naamini Kwa Mungu muumba,yaani hivi vitu havijaja tu,
Lazima kuna creator tu.yapo maajabu kibao yenye kuonesha uwepo wa muumba.

1.Usiku na mchana
2.majira ya mwaka
3.kupwa na kujaa Kwa bahari
4.uwepo wa jinsia mbili Kwa viumbe wote
5.Akili na maarifa ya mwanadamu tofauti na viumbe vyote

Najua hizi ni sababu nyepesi Sana kwako ila tuamini tu mkuu,
Watu tumepata majaribu na matatizo yaliyotufanya tuuone ukuu wa Mungu.

Lakini mkuu Nina swali,

Una watoto?

Na unawalea(umewalea )Kwa misingi ipi?

Dini ina msaada mkubwa hapa Duniani
 
Amina Amina tusiache kumtumaini Mungu
 
Kuamini unarugusiwa kuamini chochote, hata uongo. Ni haki yako ya kikatiba na kiutu. Sizungumzii imani, nazungumzia facts.

Hizo items 1 - 5 hakuna yoyote inayothibitisha Mungu yupo, umetumia logical non sequitur fallacy.

Watoto wanalelewa kwa kufundishwa ukweli wenye logical consistency.

Mungu angekuwapo hata usingekuwa na haja ya kuwafundisha lolote maana kila mtu angeelewa kila kitu vizuri tu.

Ukweli kwamba unahitaji kuwafundisha watoto at all ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…