Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
Mimi nimesoma UD, na nakuzidi IQ na elimu..haya bisha sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
NN at least acknowlege that there are some great minds coming out of the Hill!
Pia kubali kuwa kuna ujenzi wa majengo mapya ya kisasa kule UDBS:
University of Dar es salaam Business School
Who are those great minds that are coming out of there? Name names sir!!
Unataka nikubali kuwa kuna vijengo vipya. Sawa nakubali. Lakini hivyo vijengo vipya ni asilimia ngapi ya campus? Vipi yale ya zamani? Mbona yametelekezwa? Hata ulinzi ni hafifu hadi ofisi za walimu zinawekewa magrill ya kuzuia wezi. Hii ni aibu!!! Au wewe unataka kuniambia hali ya chuo hicho ni nzuri tu na unaridhika nayo?
Ni kweli hali ni mbaya. Ila kuna 'glimpses' za hali nzuri. Umepita kule nyuma ya Yombo? School of Law inakarabatiwa n.k.
Kuhusu baadhi ya great minds zinazoibukia angalia majina ya vijana katika tovuti ya Bunge - pia pita kwenye CSOs kadhaa.
Kuhusu hao great minds....mpaka sasa sijaona yeyote aliyeni impress.....
Zitto Kabwe
Mnyika
Kitila Mkumbo (but maybe not, he is an old-timer)
😀
Zitto Kabwe? You can't be serious....:teeth:
Au mara hii ushasahau ile youtube clip ya mahojiano aliyofanya na Daily News? Lol....
Inaelekea ulipita zamani, tena kwa lengo la kumsalimia ndugu yako pale.Ndugu, UDSM pamechoka kiujumla! Yaani kuanzia mazingira, majengo, vifaa na nyenzo za kufundishia hadi ubora wa elimu itolewayo hapo. Majengo hawayafanyii ukarabati. Vyumba vya madarasa, ofisi za walimu, mabweni ya wanafunzi, na majengo mengine ya chuo hicho yamechakaa vibaya sana. Kwa hadhi yake chuo hicho kilitakiwa kiwe na mazingira mazuri kwa ujumla. Sasa kama mazingira ni mabovu hivyo kweli unategemea hata elimu itolewayo hapo itakuwa bora kweli?
Inaelekea ulipita zamani, tena kwa lengo la kumsalimia ndugu yako pale.
Sio hisia tu, hata maelezo yako yanaonyesha hujui kinachoendelea UDSMWewe endelea kuhisi tu.....
tatizo lako unaangalia haraka harakakwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
Sio hisia tu, hata maelezo yako yanaonyesha hujui kinachoendelea UDSM
Kuhusu hao great minds....mpaka sasa sijaona yeyote aliyeni impress.....
si lile jengo la Sociology (nakumbuka hili wakati niko dogo tulikuwaga tunaenda tunapanda lift (elevator) hadi kule juu mwishoni halafu tunauangalia mji)
du, dogo ulikuwa masalo - lazima ulikuwa unatoroka sana kule vidudu!