Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Ndugu wana jukwaa, kipekee kabisa Mungu ni Mkuu anatenda makuu Kwa ajili yetu, nakiri Mungu anatendea vema sana, naichukua fursa kuendelea kumuishi Mungu katika mwili, nafsi na roho.
Kila siku niwe sehemu ya kumtumikia kwa kuwa na mtenda mema kwa watu nisiye na wivu, chuki wala husuda, niwe sehemu ya furaha ya maisha ya watu wote, nikijumuika na kila mtu niwe chemichemi ya furaha.
Mungu analinda nyayo zangu, mikono yangu, paji langu, ananipa afya njema kila siku anajibu maombi yangu.
Ewe Mungu unisamehe mapungufu yangu nipokee na kutenda juu yangu hata kwa utashi na hulka ya kutambua ukuu wako nakosa kiwango cha juu kupita wengine kinywa changu kinatamka jina lako Kila siku kabla ya kulala, nikiwa kitandani, na kila nitokapo ndani kwenda Duniani kujumuika na walimwengu.
Nipe nguvu, na ujasiri wa kuishi mema kwa ahadi timilifu.
Eeh Mungu ulie wa siku zote, jana, Leo na hata milele uishi ndani yangu na nje yangu katika nafsi zako zote zilizo kuu.
Najikabidhi kwako Katonda wange webale nyoo ❤️.
Maleirota/Taleirota
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz