Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa.
1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa upendo na huruma sana. Kumpenda mgombea huyu ni huruma waliyonayo kwa kushambuliwa kwa risasi 16, kuacha kumtibu, kumnyima staili zake za ubunge na kumvua ubunge.
2. Uwezo binafsi wa mgombea huyu kujieleza na kujenga hoja. Hivi vimemfanya wamkubali sana na kama NEC hawatamtendea haki katika uchaguzi huu. Nchi itaingia katika mgogoro mkubwa na wakubwa hawa wa dunia na mwisho wake ni mbaya.
3. Ni tabia ya mgombea huyu kuwatetea watu wasio na watetezi. Historia ya kesi alizozitetea wakizisoma wazungu hawa. Nawahakikishia ipo siku atakuja pewa nishani ya Nobel akiwa hai au mfu.