Siku zote ni mtu mwenye furaha na tabasamu hata wakati alipokuwa na risasi mwilini alitabasamu.Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa.
1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa upendo na huruma sana. Kumpenda mgombea huyu ni huruma waliyonayo kwa kushambuliwa kwa risasi 16, kuacha kumtibu, kumnyima staili zake za ubunge na kumvua ubunge.
2. Uwezo binafsi wa mgombea huyu kujieleza na kujenga hoja. Hivi vimemfanya wamkubali sana na kama NEC hawatamtendea haki katika uchaguzi huu. Nchi itaingia katika mgogoro mkubwa na wakubwa hawa wa dunia na mwisho wake ni mbaya.
3. Ni tabia ya mgombea huyu kuwatetea watu wasio na watetezi. Historia ya kesi alizozitetea wakizisoma wazungu hawa. Nawahakikishia ipo siku atakuja pewa nishani ya Nobel akiwa hai au mfu.
Wampe tu si itakuwa ya kwake siyo ya watanzaniaApate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa.
1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa upendo na huruma sana. Kumpenda mgombea huyu ni huruma waliyonayo kwa kushambuliwa kwa risasi 16, kuacha kumtibu, kumnyima staili zake za ubunge na kumvua ubunge.
2. Uwezo binafsi wa mgombea huyu kujieleza na kujenga hoja. Hivi vimemfanya wamkubali sana na kama NEC hawatamtendea haki katika uchaguzi huu. Nchi itaingia katika mgogoro mkubwa na wakubwa hawa wa dunia na mwisho wake ni mbaya.
3. Ni tabia ya mgombea huyu kuwatetea watu wasio na watetezi. Historia ya kesi alizozitetea wakizisoma wazungu hawa. Nawahakikishia ipo siku atakuja pewa nishani ya Nobel akiwa hai au mfu.
Aisee Nisaidie Jambo:Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa.
1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa upendo na huruma sana. Kumpenda mgombea huyu ni huruma waliyonayo kwa kushambuliwa kwa risasi 16, kuacha kumtibu, kumnyima staili zake za ubunge na kumvua ubunge.
2. Uwezo binafsi wa mgombea huyu kujieleza na kujenga hoja. Hivi vimemfanya wamkubali sana na kama NEC hawatamtendea haki katika uchaguzi huu. Nchi itaingia katika mgogoro mkubwa na wakubwa hawa wa dunia na mwisho wake ni mbaya.
3. Ni tabia ya mgombea huyu kuwatetea watu wasio na watetezi. Historia ya kesi alizozitetea wakizisoma wazungu hawa. Nawahakikishia ipo siku atakuja pewa nishani ya Nobel akiwa hai au mfu.
KabisaaaaaApate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa.
1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa upendo na huruma sana. Kumpenda mgombea huyu ni huruma waliyonayo kwa kushambuliwa kwa risasi 16, kuacha kumtibu, kumnyima staili zake za ubunge na kumvua ubunge.
2. Uwezo binafsi wa mgombea huyu kujieleza na kujenga hoja. Hivi vimemfanya wamkubali sana na kama NEC hawatamtendea haki katika uchaguzi huu. Nchi itaingia katika mgogoro mkubwa na wakubwa hawa wa dunia na mwisho wake ni mbaya.
3. Ni tabia ya mgombea huyu kuwatetea watu wasio na watetezi. Historia ya kesi alizozitetea wakizisoma wazungu hawa. Nawahakikishia ipo siku atakuja pewa nishani ya Nobel akiwa hai au mfu.
Aisee Nisaidie Jambo:
Hakuna Mzungu mwenye Upendo na Waafrika, anaupendo na vitu vinavyopatikana kwa Maslahi mapana ya Mataifa yao. Wakikosa kupata kwa ulaghai wanapandikiza Viongozi ( Mfano Tundu na Zitto- Kwa nchi ya TZ) , Wanahamasisha Upatikanaji wa haki kwa kuunda vikosi vya kiaasi- Mfano Libya, kuchochea Machafuko na wao kuingia kutoa msaada lakini Lengo lao likiwa nikuiba rasilimali - Mfano Kongo na Nigeria, n.k
Sasa Wewe Punguani ambaye Sijui umelogwa nani, Sijui umepewa Rushwa na Wazugu gani, Sijui ni pandikizi la Wazungu. Elewa tu Africa tunaye Raisi Mzalendo, Kioo cha Ma- Rais Wengine. Ni Role model wa Dunia kila kiongozi anajifunza Magulification Philosophy.
May Please stop Joking, we are serious on Protecting natural resources, JPM 5 Again. My Jesus Bless John Pombe Joseph Magufuli.
Na Mungu ashukuliwe kwa kutupatia Rais kama yeye.