Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Nakushauri uchanganye nanihii za hao wote uliowataja hapo juu,, utapata mtoto eksepsheni... Anza na Tanmo kisha umalizie na Bishanga.
 
Sipendi wanaume wazuri hata chembe, wewe mzuri? sitaki kugombaniana kioo..

Ila hako ka mstari ka mwisho kamenivutia kama ndio ulikua na maana ninayofikiria. teh teh

Erotica, sijasema mi mzuri,ila nimesema nina mvuto bana.
...kwenye mstari wa mwisho, ubunifu ni wa hali ya juu, pia sio mbinafsi.
...naomba nafasi hutajuta, zaidi ya kujutia kutokuwa nami kipindi chote hicho.
...naaidi kukupenda kama Ayubu alivyoipenda mbingu.
Pliiiiiiiiiiiizi usinileti dauni.
 
Last edited by a moderator:
Sipendi wanaume wazuri hata chembe, wewe mzuri? sitaki kugombaniana kioo..

Ila hako ka mstari ka mwisho kamenivutia kama ndio ulikua na maana ninayofikiria. teh teh

Wewe una matusi ya reja reja kweli
 
Open marriage ndio mpango mzima bana, heheeh kulaleki! hako kamstari ka mwisho ulikokamalizia kwa ung'eng'e sweetlady akiona lazima atakonda tu

sweetlady siwezi mrusha roho, huyo nampendaga ukitokaga huko unakuja

tunakesha, ila sipendi ukitoka kwa nonihino! yule anakupunguzia nguvu za kiume.
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri uchanganye nanihii za hao wote uliowataja hapo juu,, utapata mtoto eksepsheni... Anza na Tanmo kisha umalizie na Bishanga.

kam convice kwanza Bishanga, anadai ananigwaya! teh teh
 
Last edited by a moderator:
Umenifanya niende google translator! Kloro my loya yeye siyo baya tayari mmiliki.

klorokwini anavyopenda misifa akiiona hii anaweza changanyikiwa!! Mponde kidogo umshushe confo bana..lol
 
Last edited by a moderator:

Babkey umekua shortlisted. nimekukubali unafaa kuwa baba wa watoto wangu.

ngoja basi mchakato upite, na Kaunga ndie atatoa majibu. wish it will be you. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Angalia wengine dozi zao ni zile kubwa...utasahau mlango wa kuingilia nyumbani uko wapi
 
Sex relieves tension - Love causes it - Marriage Multiplies it!

I am happy that am available for Sex-love-marriage for you ONLY! :yield:

i send this speacially for you cute and sweet paxie..

A life is changed in just an instant's time,
All darkness fled before that brillaint sun That shines
from spoken words of softest rhyme And speaks of treasures, only just begun.
 
Angalia wengine dozi zao ni zile kubwa...utasahau mlango wa kuingilia nyumbani uko wapi

Kirusha roho natumaini hujanielewa, wafikiri wote nakutana nao? si ndio maana ya hiii interview?
 
Kirusha roho natumaini hujanielewa, wafikiri wote nakutana nao? si ndio maana ya hiii interview?

Nimekuelewa kabisa Eros...unajua mbio za masafa marefu zinataka strategy. Ukianza kama unakimbilia chooni 2 metres away lazima mambo yatakushinda. Msindi wa mbio zile ni yule atakayemudu wenzake wooote mpaka dakika ya mwisho. Mwanzo wake si unajua kunakuwa hakuna running trucks
 
Babkey umekua shortlisted. nimekukubali unafaa kuwa baba wa watoto wangu.

ngoja basi mchakato upite, na Kaunga ndie atatoa majibu. wish it will be you. mwaaaah.

Erotica, mtima umenidunda kwa pupa mie.
Naamini nitapita kwa chujio bibie.
Mwaaaa...Mwaaaaaaaa....Mwaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…