Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?
Shem akiona comment yako atabarikiwa sana... hongera unajielewa
 
Mkuu umewafunda vya kutosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah noma sana mkuu..
Ila wanaowadharau wanaume wa Dar wakisoma teknik zako sijui kama wataendeleza dharau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumewe anaikumbuka iyo siku ya majivu na missed calls alizompigia mkewe na huko kichelewa kurudi aki connect dots anaona kabisa mkewe alivyo tafunwa.
 
Mkuu kama alikwambia pia yuko humu,imekuaje uje umuanike humu?alafu unajisifu kuwa ulimchanganyia na kvant,,haya bhana mjanja wewe ila uwe unakumbuka kupima afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan kati ya uzi uloniboa ni huu kwanza nmekudharau ww so mwanaume kabisa kulingana na uzi guy
Pili endeleeni kuigiza mbele ya watu wakati mnatenda yasompendeza Mungu kiukwel hamna mkamilifu ila hz dhambi ndogondogo za kijinga hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kosa langu ni nini?Yeye ni mtu mzima,ana kazi yake nzuri na anajielewa wala sikumbaka..kwa wingi wa lawama alizomwagia mumewe kuwa hamjali inawezekana yuko kwenye matatizo ya stress sana..na kama mumewe yumo humu jf inaweza ikamsaidia pia ajirekebishe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv unajua kama ulienda ibadan tena jtano ya majivu(ndo kusali kwazoea neno halijakaa ndani mwako kias kutenda dhambi makusud)na ww ulifanya kila kitu ili mrad umuweke mtegoni.umetuaibisha wakristo wenzio hv unajua waislam wanavothamin mfungo wa ramadhan emu na wenyewe kama wapo waje wanisaidie hv kwel ulienda ibada ya kuanza kwa mateso ya yesu(kwaresma )ukatoka hata nyumban hukufika ukaona n sawa ulichokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka nawe utajaziniwa tu,kama sio mkeo basi mtoto wako,Zinaa inamtindo wa kukurudia mwenyewe,Acha tabia iyo kijana mwenzangu
 
Mlikumbuka kutumia kinga?

Samahani kwa maswali yangu, ila ni kwa ajili ya takwimu, unajua tena sisi watumishi wa tacaids tupo sensitive kidogo kwa habari kama hizi.

Na bila shaka na wewe una ndoa kama yeye?
 
Yan nna uchungu alafu roho inaniambia hii n chai wallah hamna mapopoma kias hcho nmekataa hii n chai na kama nikwel bas akili hauna kabisa na 'Ole' iko juu yako yan wajinga wachache mmeshusha heshima ya ndoa,mwanamke hajui n mke wa mtu mwanamme hvohvo mmeyasahau hata maandiko mnayofundishwa mara kwa mara dah mm unafik siwez suala la kushea kiburudiko n bora hata na kanisan niache kwakwel m hata hyo dada namlaumu we unapandaje gar la mtu et anakusogeza mxiuuu mmeniboa too the maximum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini watu wa JF mnapenda kunywa chai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…