Namtafuta dada yangu aitwaye bantu lady hajaonekana tangia kifo cha mama Jenister Mhagama kitangazwe

Namtafuta dada yangu aitwaye bantu lady hajaonekana tangia kifo cha mama Jenister Mhagama kitangazwe

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Dada yangu huyu ni mwana JamiiForum ni dada wa upendo sana namtafuta

Sijamuona tangu mama yangu mama Jenister Mhagama afariki dunia

Lakin kila nikiunganisha dot napata mashaka makubwa sana

LONDON BOY
 
Sina uhakika kama kutakuwa na uhusiano wowote kati ya hao watu wawili hapo, kwa wale waliopo kwenye uzi wa selfika, je hajawahi kutupia picha yake ili watusaidie kama kutakuwa na mfanano wowote na marehemu Jenista?
 
Back
Top Bottom