secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huyo ndo Binti wa zamani mkuu. Unapitwa na mengi aisee! Wenzako tunaenjoy tu 😋.Kuna mwingne alikuwa anajiita @ Mshangazi dot com sijuh yupo wapi muda mrefu sijaona nyuzi zake
Huyo ndo Binti wa zamani mkuu. Unapitwa na mengi aisee! Wenzako tunaenjoy tu 😋.Kuna mwingne alikuwa anajiita @ Mshangazi dot com sijuh yupo wapi muda mrefu sijaona nyuzi zake
Ni yeye!! (Kwa sauti ya TID).Hivi huyu sio binti wa zamani kweli?
Uwiii. 🤣🤣Tumuulize secretarybird
Bantu lady vijana wamemmisi sana Kwa sababu huwa wanampiga sana vizinga. Nilimshauri aachane na ID Ile.Tumuulize secretarybird
VAR imefanya kaziNi yeye!! (Kwa sauti ya TID).
Asante sana Secretary kwa malezo mazuri yaliyooka , Jf haokufanya makosa kukupa cheo cha U secretary maana unaweza kutolea ufafanuzi na kuchambua masuala mbalimbali yanayowagusa Wana Jf na Jamii kwa ujumla .Bantu lady vijana wamemmisi sana Kwa sababu huwa wanampiga sana vizinga. Nilimshauri aachane na ID Ile.
Ndiyo maana Melo ananiita Ayatollah wa JF 😎.Asante sana Secretary kwa malezo mazuri yaliyooka , Jf haokufanya makosa kukupa cheo cha U secretary maana unaweza kutolea ufafanuzi na kuchambua masuala mbalimbali yanayowagusa Wana Jf na Jamii kwa ujumla .
Nadhani mleta mada na Dada yangu Shadeeya watakuwa washapata muongozo kuhusiana na kadhia hii
😅😅😅 kabisa yaani mdogo wangu. 😅😅Asante sana Secretary kwa malezo mazuri yaliyooka , Jf haokufanya makosa kukupa cheo cha U secretary maana unaweza kutolea ufafanuzi na kuchambua masuala mbalimbali yanayowagusa Wana Jf na Jamii kwa ujumla .
Nadhani mleta mada na Dada yangu Shadeeya watakuwa washapata muongozo kuhusiana na kadhia hii
Kudadeki hili Jukwaa mna siri sana me kidg nitangaze matanga😂Huyo ndo Binti wa zamani mkuu. Unapitwa na mengi aisee! Wenzako tunaenjoy tu 😋.
Mkuu unaachwa sana nyuma 😂.Kudadeki hili Jukwaa mna siri sana me kidg nitangaze matanga😂
Kwakweli nilikuwa Karne ya 19Mkuu unaachwa sana nyuma 😂.
Huku mambo ni 🔥🔥
Badilika, la sivyo utabaki nyuma daima dumu!Kwakweli nilikuwa Karne ya 19
Leo ni vilio tu humuðŸ¤Please come back meghan markle
Every single day, nawaza sijui upo Hai au umeamua tu kuachana na mitandao
I scroll thru message every now and then just to re feel the lillte interactions we had..
Cc meghan markle
Hamna rmtunajifariji labda Kuna siku wata log in.Leo ni vilio tu humuðŸ¤
Makubwaa!😊Hamna rmtunajifariji labda Kuna siku wata log in.
Au ndo mental mastubationMakubwaa!😊
Yani unavotoa maelezo mtu asiekujua anaweza sema huyu jamaa anajuana na watu weng kumbe malala hoi mmoja kutokea mbaliziBantu sio Jenista cocastic angeshatoa taarifa humu
Pia Melo anafahamiana nae vyema ingekuwa ndo Jenista angeshatoa taarifa