Namtafuta dada yangu aitwaye bantu lady hajaonekana tangia kifo cha mama Jenister Mhagama kitangazwe

Namtafuta dada yangu aitwaye bantu lady hajaonekana tangia kifo cha mama Jenister Mhagama kitangazwe

Asante sana Secretary kwa malezo mazuri yaliyooka , Jf haokufanya makosa kukupa cheo cha U secretary maana unaweza kutolea ufafanuzi na kuchambua masuala mbalimbali yanayowagusa Wana Jf na Jamii kwa ujumla .

Nadhani mleta mada na Dada yangu Shadeeya watakuwa washapata muongozo kuhusiana na kadhia hii
Nyangwisi wewe unaamini kabisa mtu anaweza badili I'd kisa kupigwa mizinga na vijana?
 
Back
Top Bottom