Mwambie akomenti kwa faida ya memberShe got married and moved to San Francisco, California. Her husband is a good friend of mine and is a well respected Software Engineer in Silicon Valley. Likely she is just busy with her new life as a wife and a new mother
Hivi huyu sio binti wa zamani kweli?Kuna mwingne alikuwa anajiita @ Mshangazi dot com sijuh yupo wapi muda mrefu sijaona nyuzi zake
Ndio Binti wa zamani amechange IDKuna mwingne alikuwa anajiita @ Mshangazi dot com sijuh yupo wapi muda mrefu sijaona nyuzi zake
Wengine huwa humu kwa kazi maalumu.Kuna mwingne alikuwa anajiita @ Mshangazi dot com sijuh yupo wapi muda mrefu sijaona nyuzi zake
Alipotea muda mrefu kabla ya kifo cha Mhagama.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dada yangu huyu ni mwana JamiiForum ni dada wa upendo sana namtafuta
Sijamuona tangu mama yangu mama Jenister Mhagama afariki dunia
Lakin kila nikiunganisha dot napata mashaka makubwa sana
LONDON BOY
Siyo yeye, kwanza Bantu lady hukupendezwa na CCM.Sina uhakika kama kutakuwa na uhusiano wowote kati ya hao watu wawili hapo, kwa wale waliopo kwenye uzi wa selfika, je hajawahi kutupia picha yake ili watusaidie kama kutakuwa na mfanano wowote na marehemu Jenista?