Namtafuta dada yangu aitwaye bantu lady hajaonekana tangia kifo cha mama Jenister Mhagama kitangazwe

Bantu lady vijana wamemmisi sana Kwa sababu huwa wanampiga sana vizinga. Nilimshauri aachane na ID Ile.
Asante sana Secretary kwa malezo mazuri yaliyooka , Jf haokufanya makosa kukupa cheo cha U secretary maana unaweza kutolea ufafanuzi na kuchambua masuala mbalimbali yanayowagusa Wana Jf na Jamii kwa ujumla .

Nadhani mleta mada na Dada yangu Shadeeya watakuwa washapata muongozo kuhusiana na kadhia hii
 
Ndiyo maana Melo ananiita Ayatollah wa JF 😎.
 
😅😅😅 kabisa yaani mdogo wangu. 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…