Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Ya kufurahisha jamii naked and all tabia mbayasHiyo ni app ya nini?
Ya kufurahisha jamii naked and all tabia mbayasHiyo ni app ya nini?
😹😹😎Naona umevutika mwaya na deal la mtoa mada...akupe new 🤳
Penpal ilikuwepo zamani miaka ya 90 tulikuwa tunaandikiana barua na wazungu ,ikaja ikaanzishwa site ya penpal sijui kama inafanya kazi.Zamani waliita 'penpal' lakini kwa dunia ya leo iliyojaa utapeli, ni wazo la kipumbaf kuanzisha mahusiano ya distance bila kumjua mhusika kindaki ndaki!
Haujasikia watu wakiigiziwa na wanaume wenzao kwa kujiweka uhusika wa kike?
Hivi mkuu umewaza nini?
Ukiwa hizo site kujichukulia sheria mkononi uhakikaYa kufurahisha jamii naked and all tabia mbayas
Kbs yaanUkiwa hizo site kujichukulia sheria mkononi uhakika
Naimani uwa unajipimia tu size utakayo. I wish nkuone unavyokua unalia 😜Kbs yaan
Nalia Tena🙌🏾Naimani uwa unajipimia tu size utakayo. I wish nkuone unavyokua unalia 😜
Unalia kwa utamu bhana 😆😆😆 naomba nikupigie nioneNalia Tena🙌🏾
PigaUnalia kwa utamu bhana 😆😆😆 naomba nikupigie nione
😆😆😆 dk 0Piga
🙌Ya kufurahisha jamii naked and all tabia mbayas
Biashara ya dollar kwa nchi maskini hiyoMwendo wa kunyetuka tu...dadeki🤒
Watu Wana majini yao kama yoteBoss hata mshangazi umekosa kabisa apo kitaa😁😁
Insta na FB vimeiua!Penpal ilikuwepo zamani miaka ya 90 tulikuwa tunaandikiana barua na wazungu ,ikaja ikaanzishwa site ya penpal sijui kama inafanya kazi.
HakikaBiashara ya dollar kwa nchi maskini hiyo
Mpaka itakuwa kama utambiMwendo wa kunyetuka tu...dadeki🤒
Mi natafuta mdada wa uswazi tuchangamshane, hakuna kugandana ukihitajika utaitwa na hapa ipoJe kama yuoo huko ulipo wewe?