Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

Namtafuta mdada ambae.
Tutakua nae kwenye mahusiano ya long distance.
Mimi ntakua namtimizia mahitaji yake, (pesa)

Nae atakua natimiza mahitaji yangu
Chart, calls, video calls

Kigezo : awe na shepu tu
Deal zuri sana
Unalipa ngapi per month???


Usipofika bei nikuelekeze AI ifanye hiyo kaz kwa subscription fee ya $20 per month
 
Namtafuta mdada ambae.
Tutakua nae kwenye mahusiano ya long distance.
Mimi ntakua namtimizia mahitaji yake, (pesa)

Nae atakua natimiza mahitaji yangu
Chart, calls, video calls

Kigezo : awe na shepu tu
Mkuu ulipata?? Hii kazi hata bure nafanya jamani
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Back
Top Bottom