Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

6fe6c44f2c925ec5e13c795b4c1fdacd.jpg
 
Namtafuta mdada ambae.
Tutakua nae kwenye mahusiano ya long distance.
Mimi ntakua namtimizia mahitaji yake, (pesa)

Nae atakua natimiza mahitaji yangu
Chart, calls, video calls

Kigezo : awe na shepu tu
Dah! Ni watu wachache sana ndiyo tunaelewa hisia unazopitia mpaka kuja na huu uzi!

Yaani hisia za kumpata mdada mkali, rangi ya mtume, sauti nyororo, macho ya kulegea, titi saa 6, mguu wa bia, mwenye shepu/umbo namba 8! Halafu unamtimizia mahitaji yake muhimu kupitia hela ya boom!!

Dah! Acha kabisa.
 
Back
Top Bottom