Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Kuna mtangazaji Nguli, mwanadada Glory Robinson wa kipindi Cha Showtime wakiwa na kidebway na Bonanza sehemu ya pili sijui alipoteleaga wapi tangu alivyokuwaga RFA. Sijawahi isikia sauti yake sijui Yuko waapi, anayejua alipo...... Pls anijuze.
 
Huko unakopita na mimi nisaidie ukimwona Christine Chakunegela mpe salaam zangu
 
Nimefanikiwa kumuona insta ila hayuko active, hajapost picha hata moja...
 
Kuna mtangazaji Nguli, mwanadada Glory Robinson wa kipindi Cha Showtime wakiwa na kidebway na Bonanza sehemu ya pili sijui alipoteleaga wapi tangu alivyokuwaga RFA. Sijawahi isikia sauti yake sijui Yuko waapi, anayejua alipo...... Pls anijuze.
Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…