Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Walikuwa anchor wa vipindi mbalimbali hapo RFA.Hawa uliowataja ndio akina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa anchor wa vipindi mbalimbali hapo RFA.Hawa uliowataja ndio akina nani?
we wakishua nini umekulia wapi kama hauwajui hao!!? 🤔🤔🤔🤔Hawa uliowataja ndio akina nani?
Hapo nayemjua ni Baruan Muhuza alikuwa TBC1Walikuwa anchor wa vipindi mbalimbali hapo RFA.
Kabla ya TBC1 alikuwa RFAHapo nayemjua ni Baruan Muhuza alikuwa TBC1
Hivi vipindi vya redio hakuna ambavyo vipo rekodedi
Alikuwa msomaji mzuri sana wa taarifa ya habari saa nne usiku enzi hizo miaka ya 80Bado yupo TBC taifa
SintosahauHakika RFA ilikuwa redio bana.
Sitasahau
Sindano za moto
Simulizi za indiani movies
Reggae time
Na jeeeee huu ni uungwana?
Dah! Hizi nguo niliziagiza toka Paris Ufaransa nakumbuka alikuwa mtu wa sita kuniletea oda yake, ila bei nayo ilikuwa imenoga kwa wanaojua 100% cotton bila rayon.
Umenikumbusha mbali enzi za Fred Fidelis Fredwaaa, prince KamukuluHakika RFA ilikuwa redio bana.
Sitasahau
Sindano za moto
Simulizi za indiani movies
Reggae time
Na jeeeee huu ni uungwana?
Walikua wapigadebe pale stendi ya Tanganyika Mwanza miaka ile kabla haija hamishiwa Nyegezi..😊Hawa uliowataja ndio akina nani?
Wakushua wapi bhana,huyu atakuwa mtangazaji mwenye wivu tu kutoka viredio vya kihuni vinavyosikika sasa hiviwe wakishua nini umekulia wapi kama hauwajui hao!!? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Uyu[emoji777]View attachment 2796132Nilikua namkubali sana uyu sister dah.
DuhUtaskia aliolewa
#KATAANDOA
#NDOAINARUDISHANYUMAMAENDELEOYAMWANAMKE