Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hii batch ilikuwa creative hatari halafu vipindi vyao vilikuwa relevant sana jamii.Kitambo sana Rahabu Fungo na baadaye Rahabu Fred baada ya kuoana Fredwaa
Ndiyo maana wengi mpaka sasa ni nguli kwenye media.