Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.

Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.

Nikarudi kufakari tena, ? Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.

Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.

Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.

Mwisho nikasema isiwe tabu kushabiahiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.

Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe wenye macho ya hangover tuko wengi
Cc emmyta
 
Mnaona mnazeeka ndio mnajinadi.maji ya shingo sasa.ulikwama wapi siku zote,kwa umri wako kila mwanaume ana mwenza wake.
Usiwasemee wenzakooo
Mbona atapata tu
Wapo waliokosea njia kwa waliowapotezea muda
Hutokea sana
Watakutana
Muombee heri
Hakuna anayependa kuwa mpweke
 
Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.

Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.

Nikarudi kutafakari tena, Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.

Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.

Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.

Mwisho nikasema isiwe tabu kushabihiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.

Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo

Hahahaaa. Dada yako anapambana na Id yake na anapenda kuitunza miaka nenda rudi pasi kuwa na msaidizi wake.

Pole sana mdogo wangu ila nadhani hangover imeanza kuondoka sasa baada ya kuona dada yako anamshauri kuwa makini.
 
Hahaha ila komredi kama wewe ndo ulikua wa kwanza kukusabahi punde tu baada ya kuingia Jf, huoni kwamba huu Ujumbe wa kwanza ni mahsusi kwa ajili yako,[emoji40]
Fursa hii komredi usiipuuze mkuu (nimejiongeza)[emoji125]
Baada ya kuingia chemba sijaona response hadi sasa hivi, ingekuwa fursa kwangu angenipa feedback maana mimi nina uhakika ni mtu wa kwanza kumtembelea kwake
 
Hahahaaa. Dada yako anapambana na Id yake na anapenda kuitunza miaka nenda rudi pasi kuwa na msaidizi wake.

Pole sana mdogo wangu ila nadhani hangover imeanza kuondoka sasa baada ya kuona dada yako anamshauri kuwa makini.
Sasa niko comfortable, pia baada ya kusoma bandiko hili nikang'amua moja kwa moja kuwa sio wewe.
 
Kila la heri umpate aliye mwema, sijakizi vigezo I'm too young,
 
Ndugu wewe sifa za mwanaume umtakae zipo 10 lkn sifa zako 4 tu ndo umezitaja...embu funguka zaidi ili mtu ajue kbs anaenda PM kufuata mwanamke wa aina gani
 
Back
Top Bottom