Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.
Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.
Nikarudi kufakari tena, ? Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.
Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.
Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.
Mwisho nikasema isiwe tabu kushabiahiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.
Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo
Kumbe wenye macho ya hangover tuko wengi
Cc emmyta