Namtafuta ndugu yangu: Kwa walio Mtwara mjini na wenye kuzifahamu shule za Sekondari hapo mjini

Namtafuta ndugu yangu: Kwa walio Mtwara mjini na wenye kuzifahamu shule za Sekondari hapo mjini

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,953
Reaction score
2,044
Ndugu yangu alikuja huko akiwa amepangiwa kazi miezi ya hivi karibuni, ajabu tangu Alhamisi hapatikani wala hajamtafuta ndugu yetu yoyote. Nawaomba mlio Mtwara hasa walimu mnisaidie tujue ndugu yetu amekutwa na nini. Naomba mni-PM au mnijulishe kupitia Uzi huu. Shule anayofundisha ni ya sekondari.
 
Kama za serikali kuna
Umoja
Rahaleo
Sabasaba
Mtwara tech
Mtwara boys
Ile ya nyuma ya madukani/maduka makubwa

Binafsi
Ocean
Aquinas
Amana
Mtwara Islamic
Miiindani Islamic
King David
Alfa Islamic
Na nyingine nying
 
Ameamua kuwazimia simu msimsumbue tuma vipesa kidogo. Tehtehteh.

Hapo juu nimetania tu mkuu....kila kheri. Ntwara sipajui ila nachojua mabinti wa kule wanakata mauno balaa.
 
Ameamua kuwazimia simu msimsumbue tuma vipesa kidogo. Tehtehteh.

Hapo juu nimetania tu mkuu....kila kheri. Ntwara sipajui ila nachojua mabinti wa kule wanakata mauno balaa.
Hilo la kukata mauno ndiyo kazi yao tena akipata wa masasi ndiyo basi tena hatarudi kwao

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Kama ni wanawake wamemteka anajielewa Ila anaitwa shija kalamata
 
Kama za serikali kuna
Umoja
Rahaleo
Sabasaba
Mtwara tech
Mtwara boys
Ile ya nyuma ya madukani/maduka makubwa

Binafsi
Ocean
Aquinas
Amana
Mtwara Islamic
Miiindani Islamic
King David
Alfa Islamic
Na nyingine nying
Mkuu Kama huko maeneo hayo naomba unisaidie zaidi
 
Pole Sana Kwa Huyo Ndugu Yako
Nadhani Shida Yako Ni Kujua Usalama Wake
Kwakuwa Jina Umeweka
Vuta Subira Wamuokoe Mtwara Watupe Mwanga
 
Pole Sana Kwa Huyo Ndugu Yako
Nadhani Shida Yako Ni Kujua Usalama Wake
Kwakuwa Jina Umeweka
Vuta Subira Wamuokoe Mtwara Watupe Mwanga
Mtwara Kama hamna wanajf wako kimya wakati nahitaji msaada wa haraka
 
Wanandugu, poleni.

Msukuma kakutana na binti wa kimakonde , tena kama ni mweupe muhesabu kuwa hayo ni miongoni mwa maendeleo yake binafsi.

Kama wanandugu mtamfanyia roho mbaya, ombeni asitishiwe mshahara kwa sababu yoyote ile hadi hapo atakapo jitokeza
 
Mkuu

Hilo siliamini sana mkuu,jua linazama sijapata msaada wowote humu bado,naomba wachingiaji mjue ni jinsi gani tunataka kujua ndugu yetu Yuko wap na anaendeleaje
 
Back
Top Bottom