Pamoja na ligi yao kuwa dhaifu bado haijafikia udhaifu wa ligi yetuWasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana kuanzua timu zao za taifa hadi vilabu kidogo mamelodi sikuhzi anajitutumua.. South kelele nyingi uwezo mdogo we angalia ule ubora wa ligi tunaosifia wanshindwa kufuzu AFCON,CHAN na ni jambo la kawaida kuona south kushindwa kufuzu
Nikieleweka na Werevu ( Intelligent Member ) wachache tu kama Wewe hapa Jamiiforums GENTAMYCINE huwa nafurahi na hata Kufarijika sana tu pia.Nimeona wanaitumia nafasi ya tisa wanayoshika kwenye ligi yao kama kigezo, wanasahau ile ligi ina ubora zaidi ya ligi yetu, Simba wawe makini sana.
Jina la ID yako kimeakisi ulichokiandika.wanakufa NJE NDANI.
Je, hudhani kuwa hiyo ni Mind Game tu?ingia kwenye kurasa zao uone wanavoihofia simba ndo utajua tushashinda kabla ya mchezo
mind game ifanywe na mashabiki?Je, hudhani kuwa hiyo ni Mind Game tu?
Kwani hilo haliwezekani Wewe Dimwit?mind game ifanywe na mashabiki?
don't be such a nitwitKwani hilo haliwezekani Wewe Dimwit?
Eti eeehKaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare
Kumbe,Kaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare