Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Wasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana kuanzua timu zao za taifa hadi vilabu kidogo mamelodi sikuhzi anajitutumua.. South kelele nyingi uwezo mdogo we angalia ule ubora wa ligi tunaosifia wanshindwa kufuzu AFCON,CHAN na ni jambo la kawaida kuona south kushindwa kufuzu
Pamoja na ligi yao kuwa dhaifu bado haijafikia udhaifu wa ligi yetu
 
Kitu pekee ninachojua ni kwamba katika CAFCL Kaizer Chief haijawahi kufika hatua yoyote mbele zaidi ya Simba tokea Timu hiyo ianzishwe.

Na ingawa Ligi ya South Afrika inasifiwa kwa Ubora lakini Timu zao zina Rekodi mbovu kabisa katika Mashindano ya CAFCL, na zinanyanyaswa vibaya zinapokutana na Timu za North Afrika (Za Tunisia, Morocco, Algeria na Egypt). Sasa sijui ubora wa Ligi yao unawasaidia nini? Au tunalishwa Matango pori kuhusu ubora wa Ligi yao.
 
Nimeona wanaitumia nafasi ya tisa wanayoshika kwenye ligi yao kama kigezo, wanasahau ile ligi ina ubora zaidi ya ligi yetu, Simba wawe makini sana.
Nikieleweka na Werevu ( Intelligent Member ) wachache tu kama Wewe hapa Jamiiforums GENTAMYCINE huwa nafurahi na hata Kufarijika sana tu pia.
 
Kaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare
 
Back
Top Bottom