ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Pamoja na ligi yao kuwa dhaifu bado haijafikia udhaifu wa ligi yetuWasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana kuanzua timu zao za taifa hadi vilabu kidogo mamelodi sikuhzi anajitutumua.. South kelele nyingi uwezo mdogo we angalia ule ubora wa ligi tunaosifia wanshindwa kufuzu AFCON,CHAN na ni jambo la kawaida kuona south kushindwa kufuzu