Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Mpira ni mchezo wa wazi. Pale hakuna timu ya kutisha.
wabovu hao msimu huu wamefungwa magoli mpaka wanadaiwa
Eenh! Chineke
 

saivi utakuwa umeelewa eeeh ??
 
GENTAMYCINE uko mbali Sana ktk tasnia ya uchambuzi wa soka. Waliokushambulia Sasa wanakupigia magoti.
Asante sana Mkuu nimezipokea na nawaomba wale walionitukana na kunidhihaki baada ya kutoa Angalizo langu kuhusu Ubora uliofichika ( uliofichwa ) wa Klabu kubwa na nzuri ya Kaizer Chiefs FC ( Amakhosi ) waendelee tu ila nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu nakijua Mimi ambacho wao hakuwabariki nacho.
 
Rudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…