permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mkuu upo?ingia kwenye kurasa zao uone wanavoihofia simba ndo utajua tushashinda kabla ya mchezo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo?ingia kwenye kurasa zao uone wanavoihofia simba ndo utajua tushashinda kabla ya mchezo
Anatamani afute hiyo comment😆
Rudia kauli yakoKaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare
Mpira ni mchezo wa wazi. Pale hakuna timu ya kutisha.
wabovu hao msimu huu wamefungwa magoli mpaka wanadaiwa
Eenh! ChinekeWasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana kuanzua timu zao za taifa hadi vilabu kidogo mamelodi sikuhzi anajitutumua.. South kelele nyingi uwezo mdogo we angalia ule ubora wa ligi tunaosifia wanshindwa kufuzu AFCON,CHAN na ni jambo la kawaida kuona south kushindwa kufuzu
ingia kwenye kurasa zao uone wanavoihofia simba ndo utajua tushashinda kabla ya mchezo
Salam alykumwanakufa NJE NDANI.
Mpira wa Afrika kusini ni wa kawaida tulicheza na supersport mpaka wakamsajili Matola, tuliwatoa Santos wakiwa na kipa wao wa kombe la dunia beki za pembeni zinaweza kuwa tatizo lakini kocha ameshawasoma na kujua wapi atafanya nini.
Kitu pekee ninachojua ni kwamba katika CAFCL Kaizer Chief haijawahi kufika hatua yoyote mbele zaidi ya Simba tokea Timu hiyo ianzishwe.
Na ingawa Ligi ya South Afrika inasifiwa kwa Ubora lakini Timu zao zina Rekodi mbovu kabisa katika Mashindano ya CAFCL, na zinanyanyaswa vibaya zinapokutana na Timu za North Afrika (Za Tunisia, Morocco, Algeria na Egypt). Sasa sijui ubora wa Ligi yao unawasaidia nini? Au tunalishwa Matango pori kuhusu ubora wa Ligi yao.
Kajifia huyoo
Asante sana Mkuu nimezipokea na nawaomba wale walionitukana na kunidhihaki baada ya kutoa Angalizo langu kuhusu Ubora uliofichika ( uliofichwa ) wa Klabu kubwa na nzuri ya Kaizer Chiefs FC ( Amakhosi ) waendelee tu ila nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu nakijua Mimi ambacho wao hakuwabariki nacho.GENTAMYCINE uko mbali Sana ktk tasnia ya uchambuzi wa soka. Waliokushambulia Sasa wanakupigia magoti.
Tehe tehe tehe kibonde kakuzaba nne bila majibu ewe bingwa.Kaizer chief ndo kibonde pekee ambae yupo kota final kwa simba hii kama ikihitaji kushinda kwa kaburu wanaweza Mpiga kaizer hata 3 labda waende na approach ya sare
Nje Ndani ule wimbo wa Inspekta Haroun au ipi? [emoji38][emoji38]wanakufa NJE NDANI.
Wasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana
Kaizer ni wepesi.
Mpira wa Afrika kusini ni wa kawaida .
Rudia tenaWasouth Africa kelele nyingi na wapo overrated na ligi yao PSL kuwa na umaarufu tuu, lakini uwezo mdogo sana kuanzua timu zao za taifa hadi vilabu kidogo mamelodi sikuhzi anajitutumua.. South kelele nyingi uwezo mdogo we angalia ule ubora wa ligi tunaosifia wanshindwa kufuzu AFCON,CHAN na ni jambo la kawaida kuona south kushindwa kufuzu
Kweli kabisaWao walikua wanaombea wakutane na Mamelodi Simba hawakutaka kukutana nao
Maneno yako yametimiawanakufa NJE NDANI.
Salam alykum
Maneno yako yametimia